Recent content by Geovanna

  1. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    msweet nieleweshe vzr nifanyeje sasa.mm imani yangu ni mkristo. thanks mzizimkavu
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    habari jf doctor. Nina miaka 27.Awali nilikuwa siijui tarehe yangu ya kubleed kutokana na kitokuwa na constant date.lakn naona tatizo limeendelea kwa kukosa kabisa kuona siku zangu huu ni mwezi wa nne sasa.sijawai kutumia kitu chochote kuhusu uzazi wa mpango.nahitaji mtoto ila siku sizioni...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya usajiri wa makampuni (brela) kwa bei nafuu

    Tangaza bei kwanza
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nataka ndoto yangu ya kumiliki babyshop iwe mwaka huu.help please

    Nitanunua cash mkuu
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nataka ndoto yangu ya kumiliki babyshop iwe mwaka huu.help please

    thanx,umenisaidia sn mana sina nalolijua ndo nipo kwenye marketing research.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni wanawake au wanaume

    he is mine kihalali,namuita lolote nalojisikia coz yote halali yake.usiogope
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nataka ndoto yangu ya kumiliki babyshop iwe mwaka huu.help please

    Nahitaji maujuzi wanajamvi
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kuhonga na Kuhongwa

    250 ya nauli tena,
  9. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni wanawake au wanaume

    Mwenye makosa ni mwanamke kujifanya disminder na kuachia best zake kuchat na boyfrnd.kwangu mm nshachimba biti sitaki best angu achat na my hubby.na kitu kingine kumcfia sana boy kwa shost kunafanya amtaman
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nataka ndoto yangu ya kumiliki babyshop iwe mwaka huu.help please

    Nataka nifungue mbezi.badae niwe na branches sehem mbali mbali.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nataka ndoto yangu ya kumiliki babyshop iwe mwaka huu.help please

    Imani yangu itaniponya..huku kwetu kuna opportunity ya kufungua duka classic la nguo za watoto.i have already study about market saturation.nahitaji msaada kuhusu suppliers wa hizo nguo na accesories za watoto.kuhusu capital nataka kuingiza sokon kama 4m.msaada in detail please
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hi!

    Am a busnesswoman
  13. G

    JamiiForums Tanzania Hi

    Am new
Back
Top Bottom