Recent content by geostorm

  1. geostorm

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa nyumba za kupangisha na wapangaji pitieni hapa, hii inawahusu

    hahahahahaha haya bana mkuu,ila sidhani kama ni rahisi kihivyo!!! haina shida lakini wacha tuone.
  2. geostorm

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa nyumba za kupangisha na wapangaji pitieni hapa, hii inawahusu

    sasa unavyofikiri utapewa muda gani wazaidi wakati mwezi uliokwisha kaa umemaliza na hela ya mwezi unaofuata huna,kwa hiyo mwenyenyumba akupe mwei mwingine ukae bure au wiki mbili mbele ndo uhame, kimsingi hapa serikali imekurupuka kuingilia hili suala,
  3. geostorm

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa nyumba za kupangisha na wapangaji pitieni hapa, hii inawahusu

    katika hili wala mwenyenyumba hajakomolewa ispokuwa wapangaji ndo wanazidi kuumizwa kwa sababu wanakwenda kupoteza security yao katika nyumba,maana kama kodi itakuwa ni mwezi hadi mwezi siku mwezi ukisema huna na ndo siku hiyo hiyo inabidi uhame haina kupeana notisi kwa sbb huna unachodai,sasa...
  4. geostorm

    JamiiForums Tanzania Huu ndio usanii wa maisha

  5. geostorm

    JamiiForums Tanzania Neno la shukrani alilotoa kijana aliyepiga picha expansion joints za hostel

    siku utakapotoka hapo chuoni na kuingia mtaani ndo tajua maisha ni nini,mind you wachout you still have long way to go....
  6. geostorm

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimepata mke kupitia jukwaa hili la Love Connect

    hongera sana mkuu
  7. geostorm

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya mpenzi wako asijue kama una mchepuko mwingine

    Mkuu hakuna kazi ngumu kama kuwa na mchepuko na hasa inakuwa mtihani zaidi kama mkeo ni mwaminifu na haujawahi hata kumhisi,kiukweli kuna kipindi nilikuwa Napata tabu sana na mchepuko na bahati mbaya ulijifanya kuenielewa zaidi kushindwa mke. the safiest way is to abstain them,dats all!!!!!!!!!
Back
Top Bottom