Naung mkono hoja,na serikali imefumbia macho swala hilo miaka yote,its doesn’t make sense,pesa ya mtu kaiweka na bank inanufaika nayo ila unakatwa makato ya kuangalia salio lako,,tozo za withdraw pesa,tozo za mwezi du,mabank ya kiafrica balaa sana,mi naishi baraa la europe,nchi niliyopo unakatwa...