Recent content by George Smiley

  1. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr. Ramadhani Dau apigwa marufuku uzinduzi wa Daraja la Kigamboni

    Kuna habari zimeenea kwenye mitandao ya kijamii toka juzi kuwa Waziri wa Kazi na ajira Jenista Mhagama na Katibu Mkuu wa hiyo wizara Eric Shitindi wametoa agizo kwa shirika la NSSF wasimwalike aliyekuwa DG wa shirika hilo Dr Ramadhani Dau kwenye sherehe za ufunguzi wa Daraja hilo wiki Ijayo...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hivi Dokta Dau hana jema hata moja?

    UKURUGENZI MKUU NSSF 1997 – 2016 HIVI DOKTA DAU HANA JEMA HATA MOJA? Kabla ya kuanza kuandika chochote kuhusu maudhui yenye anuani hiyo hapo juu, niwakumbushe wasomaji wangu ‘kisa’ kimoja nilichohadithiwa na rafiki yangu ambaye alikishuhudia yeye mwenyewe katika nchi moja (sipendi kwa leo...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kusitishwa Msaada wa Marekani Uwe Mwanzo wa Kusitishwa Mingine

    MODS UNAGISHA HII THREAD NA ZINGINE
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kusitishwa Msaada wa Marekani Uwe Mwanzo wa Kusitishwa Mingine

    MODS UNGANISHA HII THREAD NA ZINGINE ZA MCC
  5. G

    JamiiForums Tanzania Hivi Wakenya wametushinda nini?

    MODS peleka siasa hii thread ilipokuwa
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania kipaumbele cha Saudi Arabia kiuwekezaji

    walete investment ya 10 billion dollars ndio tutajua kama wako serious
  7. G

    JamiiForums Tanzania Marekani yasitisha rasmi Ufadhili wake wa MCC kwa Tanzania

    + + + + + + + Tazama emails za UFISADI WA MCC na akina SYMBION hapa: After An Email To Hillary, Company Directed By Ambassador Joe Wilson Was Awarded Africa Contract
  8. G

    JamiiForums Tanzania Marekani yasitisha rasmi Ufadhili wake wa MCC kwa Tanzania

    Hii forum ambayo members wake wanajisifia kwa kujiita ma Great Thinkers inatia aibu sana Hivi nchi ina miaka zaidi 50 na ina kila raia milioni 50 na ina resources za kila namna na vyanzo kem kem vya pesa kulalamika kutopewa msaada wa MCC ni upuuzi na ujinga usio na kifani Hawa Wamarekani...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Double Standards za Ikulu kumtetea Ombeni Sefue

    Im 100% sure
  10. G

    JamiiForums Tanzania Crescentius Magori, ni nani kwenye serikali ya Magufuli?

    the word is huyu anaandaliwa na Ombeni sefue Hii nchi bora waje watu wapya tuuu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Double Standards za Ikulu kumtetea Ombeni Sefue

    Do you seriously think kuwa hiyo statement hajaifanyia editing kama sio kuiandika mwenyewe? Kama kweli wanataka haki itendeke why wamtetee Sefue na wengine waachwe?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Double Standards za Ikulu kumtetea Ombeni Sefue

    Nilitegemea kuwa wangekuja na statement kuwa kama kuna mwenye ushaidi aende kwenye vyombo vya sheria/dola In otherwords nilikuwa upande wa Ikulu mpaka niliposoma hiyo statement yao. Ki uhalisia burden of proof ilikuwa upande wa gazeti la Dira, wataalam wa sheria wanamsemo wao wa kilatin...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Double Standards za Ikulu kumtetea Ombeni Sefue

    Ikulu imetoa press release kumtetea Katibu Mkuu ombeni sefue ambaye anakabiliwa na tuhuma za rushwa na kampuni ya ujenzi ya kichina ya CRJE Cha ajabu ni kuwa utetezi wao umekuwa one sided. Iweje wao wanamtetea Ombeni sefue lakini wengine haijawatetea? Ina maana kuwa kwenye hizi tuhuma za...
Back
Top Bottom