Recent content by george ndomba

  1. G

    Pale meno yanapogeuka adhabu

    Sisi watu wakirimanjaro mungu katupa original wala hatutaki dhahabu maana tiali tunayo
  2. G

    Aibu ya kuapishwa Rais wa Ghana!

    Kwahiyo ulitaka aonge speech ya faru john ndio ushangilie unga huu sijui nani anauingiza vijana ndio wanapotea hivi
  3. G

    Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

    Kama nimteja sawa sio muuza bange alafu akuchanganyie.yeye atakua anapata hasara alafu mateja kama wa tandale kariakoo nk.ningumu labda hao wenye visenti lakini wabeba uchafu wapiga debe waokota makopo hafadhali waminye watu wanaifadhi hadi vumbi la majivu walio vuta wachanganye badae tena...
  4. G

    Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

    Wewe nani mjinga akuchanganyie unga wake na kabange kako unga bei bange miatatu sasa siatakua fala
  5. G

    Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

    Hakuna mtu atakuchanganyia.unga na bange unga bei kubwa bange bei raisi sasa jiulize mtu anauza ulanzi au komoni alafu akanunue wiski akuchanganyie ili upate kulewa vizuri siatakua mjinga
  6. G

    Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

    huyo kwenye hiyo havata yako alikua mwana harakati alafu alikua kaya kinoma
  7. G

    Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

    Nikapimwe vipi yani maana najitambua najiweza sasa sijui nikapimwe nini maana hata wasio vuta wengi niwapita hata kimaendeleo.kiufaham sasa sijui unamaanisha nini
  8. G

    Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

    Ivi unavyo fikiria ninani atakae kuuzia bangi alafu achanganye na unga bangi miatatu unga kuanzia elfu tano sasa siatakua mjinga labda uniambie marafiki alafu ni wale wenye visenti sio mateja wa tandale. Fikiria mara mbili
  9. G

    Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

    Mbona inatumika kama dawa kwa baadhi ya magonjwa
  10. G

    Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

    Mbona bob maley mbaka anakufa hakuwai kutumia unga
  11. G

    Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

    Mimi navuta bangi wewe malaya alafu mwizi bora nani
  12. G

    Dkt. Slaa: Ninapokubaliana na kutofautiana na Magufuli

    Kuhusu katiba kasemaje hau kasahau nani alimuambia nchi inaendeshwa kwa katiba ya kutunga hapohapo maana katiba inatoka kichwani kwa muheshimiwa siasaaaaa
  13. G

    Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

    Kwani bangi inamatatizo gani mnaacha kuongelea maviroba mnaongelea bangi watu maharufu viongozi wakubwa wasomi wakubwa wengi wanatumia bangi hata mataifa makubwa wanatumia bangi ninyinyi tuu maskini alafu mnakataza bangi lakini viroba ruksa mimi mwenyewe ni mvutaji nina zaidi ya miaka kumi na...
  14. G

    Kwa Rais Magufuli tu - Must Read 2017

    Hivi mahakama siimefunguliwa bado hawaja muandalia keso
  15. G

    Kwa Rais Magufuli tu - Must Read 2017

    Sasa kumbe nikwasababu unampenda mwambie akuoe basi maana inaonekana hata akikuomba tako utatoa tuu maana autaelewa ata umkataliaje
Back
Top Bottom