Recent content by george kessy

  1. G

    Nina milioni 25, naweza kuwekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?

    Anaweza akaaanzisha kijiwe na akakichangamsha yeye mwenywee.
  2. G

    Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

    kitu pekee ambacho unakosea ni pale unaposema unataka kujaribuu.Unataka kujaribu coz yu dont trust the system au info given,yaweza kuwa ni info ambazo hazijajitosheleza ,au ndo yale mambo ya kaumbiwa huku kuna helaa na wee unataka kuingia tu!!!! nikushauri kitu kidg ,ingia chimbo kula vitabu...
  3. G

    Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

    The utility ya bitcoin haionyesh kama itakufa anytime soon.ukiisoma ile whitepaper ya bitcoin nakuangalia matukio ya kiuchumi utakuja na mawazo tofauti na mtazamo tofauti juu ya digital currency na hela za kawaidaaaa.The world is advancing so as the finacial system
  4. G

    Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

    Everything in the world needs changes.Dunia inahitaji mabadiliko katika kila nyanjaa!!. kadri miaka inavyosogea tunahitaji vitu ambavyo tutaendana navyo sambamba haswa katika Afya,Fedha,Usafiri,Miundombinu,Viwanda,vyakula na mengineyo.Hakuna wakuyapinga haya mabadiliko,kama mabadiliko haya...
  5. G

    Nina wazo la kuanzisha chama cha wanadarasa la saba Tanzania

    Focus, dont compete huu ni msemo wangu kutoka kwa kaka angu clint travellah.sinungu`iniki sina viatu wenzangu hawana miguu huu ni kutoka kwa gwiji Mwana falsafa. Ntakushauri kitu mzee kwa kila kitu ulichonacho kumbuka kumshukuru mungu, kuwa Darasa la 7 sio kama huwezi kitu au kujiona huna...
  6. G

    Nina milioni 25, naweza kuwekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?

    Kwenye magari kuna ma oligach wengii angeanza na za pikipiki meaning kufanya services za pikipiki na bajaj zitamtoa taratibu 2M kwa kuanzia, kisha kaingizaa pesa tena katika magahawa wa kisasa 2M kwa kuanzia sio mbaya, tena akaingiza pesa katika usafiri meaning bajaji zake kadhaa labda 2 tu...
  7. G

    Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

    achana na hii utapoteza muda na rawmaterial zako,ebo check namna ya kuinvets katika ICPO,IPO NA ALTC.
  8. G

    Je, ni biashara gani naweza kufanya ikanipatia walau ada?

    Maneno yatakayo andikwa hapa mengi yanweza kuwa yakukatisha tamaa, ya kuumiza na mengi pia yatakuwa mazuri ya kuvutia kiasi kutakuwa na ugumu katika utekelezaji. Kitu moja wapo kwa sasa ni umkumbuke mungu kwa imani yako na kumpa kipaumbele katika fikra zako huku ukiaangalia nini cha kufanya...
  9. G

    Je, ni biashara gani naweza kufanya ikanipatia walau ada?

    Safi mkuuu huu ni ushauri mzuri kwake ,No body will beat you when u have skills.Mikono isio na ujuzi humfanya binadamu kutapatapa.
  10. G

    Biashara Kumi (10) Unazoweza Kuanzisha na Kufanikiwa Kimaisha

    Hizi biashara zimekuwa miaka na miaka sana , na chaa ajabu hizi business zinakufanya upate fedhaa kiasi tu wala hata sio kukutajirisha moja kwa moja na kuna sababu kwann hizi kikwetu hapa bongo zinafanya watu waone yakuwa haziwezi kuwawekea doo ya kusurvive hata 5 years bila ya kuvuja jashoo...
  11. G

    Nina milioni 20. Nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na rejareja

    yes upo sahii mkuu.Alfu ukiingia sokoni ka stage eyo ya rejareja unaweza kulisoma soko la spare kiundani na kujua changamoto zake vizuri mno.Unajua changamoto unazitatutaje zikija na kwa wakt unauza rejareja unaanza kutengeneza good customer basee ambayo hata ukifunga mzigo wa jumla unaulaaa...
Back
Top Bottom