Biashara Kumi (10) Unazoweza Kuanzisha na Kufanikiwa Kimaisha

HAHAHAHAHAA
HUWEZ kutoka kimaisha kwa biashara hizo zaid ya kupata ela ya kula tu na majitaj mengine madogo madogo.

Nilifikiri utazungumzia biashara ya kununua mazao kisha uweke stoku ili uuze pindi bei ikipanda. Hii biashara itakutoa kuliko hiyo ya kwako.
Sio Hadi uanze na mtaji mkubwa mzee. He's correct! Otherwise tupe wewe ideas za kuwa billionaire
 
Hizi biashara zimekuwa miaka na miaka sana , na chaa ajabu hizi business zinakufanya upate fedhaa kiasi tu wala hata sio kukutajirisha moja kwa moja na kuna sababu kwann hizi kikwetu hapa bongo zinafanya watu waone yakuwa haziwezi kuwawekea doo ya kusurvive hata 5 years bila ya kuvuja jashoo.

Katika chakula weye kama mfanyabiashara lazima ulisome soko toka miaka na miak ,nini kimefanyika katika soko,soko linauimara wapi na limadhaifu wapi,ni boreshe vpi,nijitangaze kivipi.Mfano katika group la watu 10 tu kila mtu anafungua restaurant eti kisa kila mtu anakula,lakini wanasahu matumbo ya watu huchagua wapi pakula na hutokana na namna ambayo mlaji hulidhika apatapo huduma sehemu eyo.

mazingira mabovu,no any modern services unaprovide servic kama wakala wa kinjekitile ngwale kwann usiloose....?

kazana katika raw material mpaka fainal product.
 
Natamani niingie kwenye vichwa vya kila mtu mwenye nia na biashara halafu nimnong'oneze biashara gani inatakiwa watu kuifanya nyakati tulizopo.

Jamani mabiashara ya mamitaji makubwa makubwa yatawapa stress na mtaishia kuparalize siku 1 nawambia...

Hela ipo kwenye biashara zinazodharaulika wapendwa Achaneni na u classic na kuogopa watakuchukuliaje, unachotafuta ni Pesa na si Show Off aseee..

Amkeni basi jamani mbona tunajaribu watoa kwenye umaskini lakini kuna watu bado mnaung'ang'ania umaskini?!
 
Ndugu nimekufuatilia kwa muda mrefu kidogo niseme tu nahamasika Sana tatizo Ni udhubutu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahamasika kaswende au?
Ndugu nimekufuatilia kwa muda mrefu kidogo niseme tu nahamasika Sana tatizo Ni udhubutu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums-144351180.jpg
 
Ndugu nimekufuatilia kwa muda mrefu kidogo niseme tu nahamasika Sana tatizo Ni udhubutu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye uthubutu ndio panapowanyima watu point mkuu...

Ngojea nikwambie kitu,wakati unataka kuthubutu/kujaribu Hebu ondoa ile mindset kuwa lazima nifanikiwe ktk hiki ninachokianzisha... Ondoa hizo fikra.

Unapothubutu/kujaribu unatakiwa uwe neutral Usijipe 100% ushindi, jipe 50 ushindi 50 kupoteza.

Raha ya uthubutu ktk biashara lets say bahati yako imeangukia ktk zile 50% za kupoteza, Ki pesa utajiona umepoteza lkn ki biashara/ujasiriamali utakua ume gain more than 100%.

Biashara hiyo uliyopoteza next time uki ianzisha tena Uwezo wako wa kufanikiwa hautakua tena 50/50 kama mwanzo sasa hivi percent itasoma kufanikiwa 70% kupoteza 30%..

Ok lets say na sasa hivi ukadondokea kwenye 30% ya kupoteza, kanuni yetu ni ile ile kwamba kipesa/financialy tunakua tumepoteza lakini Kibiashara/ujasiriamali unakua umegain tena more than 100%.

Naamini bado una moyo na biashara na kukata tamaa ni mwiko ktk biashara/ujasiriamali...

ukirudi tena this time around lazima wakuite Mchawi au watakwambia sasa hivi umeenda kuloga, kwasababu utarudi uwanjani percent zako zikiwa zimebadilika 90% kufanikiwa na 10% kushindwa...

Ukishafika kwenye level hiyo hakuna wakuweza kukuyumbisha maana utakua umeshakua mbobezi, unajua mipira ya kona inapigwaje,Faulo zinapgwaje,penalt zinapgwaje so ukitengewa mpira bila kujali umetengewa upande gani au mguu gani Shuti utalopga Ni direct nyavuni.

Kwanini nasema ni direct nyavuni (kufanikiwa)??? kwasababu ulishadondoka zaidi ya mara mbili ukainuka, ktk kila ulipodondoka ulikua ukijifunza na kurekebsha makosa kwahyo wanasema kuteleza kupo na kibiashara kuteleza kupo sanaaa...

so wewe ulishateleza, ulishadondoka,nk sababu za kuteleza na kudondoka zote ulizijua na kuzifanyia marekebsho, sasa hivi hakuna sababu nyingine yakuweza kukuangusha chini.

Kwahiyo Uhakika wa kutusua utakua 100% lakini kabla ya kufikia hapa kwenye 100% sure huko nyuma ulishakula mieleka yakutosha.

na mieleka yote uliipata wakati ukithubutu/ukijarubu kwahyo ktk kujaribu na kuthubutu kuna masomo tunayapata ambayo hakuna profesa wala PHD holder dunia nzima ataeweza kukufundisha, ni masomo ambayo hata uwe na pesa ujaze Dunia nzima hakuna chuo kitakufundisha hayo masomo.

lakini masomo hayo utayapata bure kama ukikubali kuthubutu/kujaribu.

Ada ya hayo masomo ni mtaji wa biashara yako unayotaka ianzisha, Weka mtaji fungua biashara Ikifa usilie, Fahamu ndio upo chuo 1st semister.

Tia tena mtaji fungua biashara, ikifa wala usiumie Fahamu upo chuo sec semister, dear one mpk unamaliza chuo cha kusomea uthubutu/kujaribu Uki graduate nakuhakikishia Hakuna atakae weza simama mbele yako akakwambia mberembeche ya aina yyte kuhusu hiyo biashara utayokua unaifanya.

Nimeandika kwa code na mifano ya ndani ila naamini kuna kitu umepata.

My point is... kubali kuthubutu kubali kujaribu siku 1 utaona matunda yako ya uthubutu wako ktk ujasiriamali/biashara.

No kukata Tamaaaa.....
 
Ubarikiwe Sana mkuu kwa Somo lako zuri
 
Back
Top Bottom