nafikiri tunatakiwa kujua vizuri zaidi masuala ya Ekolojia.
Huu mfumo wa ikolojia upo kwa mpango maalum. Mbona hujauliza maswali wajapani wanaunda meli na watanzania hamna wala tembo hawaundi ndege?
Mbona hujajiuliza pamoja na akili hizo tembo, fisi, na simba lakini hawajengi nyumba...
isije ikawa ni kampeni za "2 zatosha" za nini?
Pale mhimbili madaktari wanalalama vifatiba hakuna. Mwananyamala akinamama wajawazito walala kitanda kimoja wawili ikiwa hata kwa walijifungua.
Madawa ya kurufusha maisha dhidi ya wanaoish na virusi vya ukimwi pamoja na kondomu zazalishwa fiki...
mambo yamekuwa mpwitompwito Tanzania.
Flying over na mladi wa mabasi yaendayo kasi haujakamili leo watungazia treni za umeme.
Kuna wilaya nyingine umbali wa km60 unatembea masaa 6 kwa namna barabara zilivyo mbovu.
Hata huo mkongo wa taifa ifakara, tundulu na ludewa sijui kama umefika.
Hivi...
Mimi naogopa sana!
Kama hii ni tume au ni kamati???
Kigugumizi cha kutaja majina cha toka wapi?
Watu 61 wamesababisha vifo vya watanzania lukuki. Na wengine wengi wameathirika na madawa haya.
Kama ishu ilikuwa ni kuwabaini na waombwe kujitokeza na baada ya hapo msamaha hakuna haja ya...
Kama wamethitika kuwa na kasoro za kufikia hapo ni maamuzi mazuri na makini.
Hapa kamati kuu CHADEMA wamefanya maamuzi magumu.
Ukitaka kumwoa nyani hapana mwangalia usoni.
Hawa wanaokubaliana na prof. Muhongo kuwa ukisoma unatakiwa kuwajibu hivyo watu wanaohoji ukweli wa mambo ulivyo, mimi nisema tu tuwapeleke maabala wapimwe uwezo wa ubongo wa kuweza kuchanganua mambo.
Suala la kuona umaskini wa watu wanaozunguka migodi kule mwadui, geita na mererani inatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.