:thinking: Tanzania need better and capable people in making development changes, and those changes wont happen if the large part of our human resources is left hanging without a better platform in education and decision making bases, it has to reach a time where we as Tanzanians ,we stand and...
The association wont be for jobless people only, because if it is no one will help the other, It is for the graduates, employed or not, tunaweza kujadiliana mengi zaid kwenye kikao jumamosi. for more infomation contact 0713959290. thanks
Actually watu makini hufikiri kwa kina kwa kila wanalo lisema na kufanya, sio mda wote watu hukaa katika mitandao na kujibu posts no matter how important they are, tunaitaji kufanya kazi, utandawazi usitufanye tukabweteka na kutumia mda wote kujibu maswali ambayo yanahitaji wakati muafaka...
The problem is that a you guys do not think of how you will association, and instead how people will make things for you to earn,the establishment of this association was not for some people, all who want to join can, and instead of asking many question on how the association will be, you...
Hapana, si hivyo, Association hii taijihusishi na shughuli za kisiasa, ni kwa lengo la kuinua watanzania kutokana na suala zima la ajira, jumuiya hii inamalengo ya kuacomodate watanzania wote walio hitimu elimu zao hivyo siasa tunaichukulia kama adui wa kwanza wa kuvunja malengo ya uanziswaji wa...
Wale wa mikoani mwaweza kujiorganise alafu tukawasiliana namna ya kufanya tukatambuana na kushere malengo na madhumuni yetu, kwa sasa bado inakua vigumu kuwafikia huko ila mnaweza kutusaidia kwa kuungana na sisi katika mapambano yetu haya kwa kua pamoja na sisi kwa kila tunalofanya, Association...
Hey guys, Tanzania Graduates Association is hereby informing you that, the Association constitution making process is now going to an end. On this weekend, Saturday of 24th May there will be a meeting to pass the said constitution, and the members name will be enroll to the constitution and...
kwa maelezo zaidi juu TGA na vikao vilivyo kwishapita mwaweza tembelea, page ya Tanzania Graduates Association on facebook, or http://www.facebook.com/tzgraduates.association
Tanzania graduate association, inakupa taarifa ya kikao cha nne, kitakachofanyika siku ya jumamosi hii, tarehe 26/04/2014, saa 8:00 mchana, mahala: chuo kikuu cha dar es laam- madarasa ya semina karibu na nkhuruma hall mawasiliano:0717 309119. plz sambaza ujumbe kwa kila mtu. NB: PLZ NAKUOMBA...
wadau wa TANZANIA GRADUATES ASSOCIATION mnaombwa kutembele email zenu ili kupata taarifa ya kikao cha wiki iliyo pita. ni vyema kama utahifadhi taarifa hiyo kwa matumizi ya baadae.
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.