Recent content by George Antony

  1. G

    JamiiForums Tanzania GE2015 Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni...

    CCM ina Rais yupi mwenye heshima Ebaeban?Mnachomhofia EL ni nn na kwani kishatangaza nia? Wajadilini waliokwisha tangaza nia au kwa kuwa mnahisi wanapoteza muda ndo mana macho yamewatoka kwa hili jembe!
  2. G

    JamiiForums Tanzania GE2015 Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni...

    Anafaa sana, kwani nyie mnaosema ni fisadi kama mnafahamu siasa ya nchi hii mleteni msafi hapa mnaodhani hana doa.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mzee Kigwangalla afariki Dunia huko India 8 Feb 2015

    R.I.P mzee
  4. G

    JamiiForums Tanzania Utafiti: TAKUKURU, Polisi na Mahakama wanaongoza kwa rushwa

    Pccb na Takukuru sioni kama zina umuhimu ni kuzidi kumbebesha mlipa kodi mzigo, Rais ajae avunje hizi taasisi aboreshe elimu vijijini na kuagiza pembejeo za kilimo
  5. G

    JamiiForums Tanzania Hivi Lowassa hana washauri? Naona anapoteza muda na fedha zake bure!

    Mleta mada we umejuaje kama Lowasa anautaka urais? mbona mnashindwa kufanya shuguli zenu kwa kumuwazia huyu mzee wa watu, kama ana haki kidemokrasia tusuburi muda ufike atasema.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Prof. Sospeter Muhongo usiyemjua

    Yuko vzr ila ndo basi tena
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nauza simu: Ni Gowin M7 na Samsung Note 3 bei nafuu kabisa

    Note 3 220000? Labda ya kichina
  8. G

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mshindi wa milioni 100 za vodacom

    Hongera zake sana huyo binti
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hapa mwalimu atashindwa kuwaza kumtafuna huyu?

    Du ni shidaaaa!
Back
Top Bottom