Recent content by George Anthony

  1. G

    JamiiForums Tanzania Jambo la Kufanya Kabla Hujaja Dar

    Kwani Dar ndo nn kanyaga South tu hapa jirani kaone mambo mnaostaajabu Dar nahisi mlikuja kwa ndg zenu kuuza mayai au maji sasa mmepata viauheni mnaleta uzi haueleweki
  2. G

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM anashindwa kusoma aliyoandikiwa kwenye karatasi, kazi kweli ipo!

    Mafiga matatu jamani
  3. G

    JamiiForums Tanzania Maadui watatu wa mwanaume hapa duniani

    Mtoa mada una akili nyingi sana
  4. G

    JamiiForums Tanzania Twendeni tukamuage, tukamzike kamanda Mawazo

    R.I.P kamanda
  5. G

    JamiiForums Tanzania Maduka yote ya dawa nje ya hospitali za Serikali marufuku

    Huu utaratibu kama vile utanifurahisha,make sasa kila dr lazima afungue kijidispensary au kipharmacy sasa muda wote anawaza hako kakijiwe kwa maana hiyo utendaji upande mmoja unazorota.Ombi langu kwa mamlaka wachague 1 kutumika serikalini au wakatumike kwenye vijiwe vyao wawapishe wenye moyo wa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wachawi wamemchukua mwanangu

    Pole hayo ni ya walimwengu kaka
  7. G

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Service yake ni nouma na ni Toyota tu sio vinginevyo yaani service tu unanunua IST
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mlolongo huu wa vyeo katika wizara moja tu ni kweli unahitajika?

    Vyeo vipunguzwe kwa jinsi itakavyowezekana
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wizara nane kufutwa, nyingine kuunganishwa

    Kama safari za nje hakuna manaibu hawahitajiki kabisa
  10. G

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta achukua Fomu ya kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Personal namkubali sana jamaa
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nape: CCM tunaitamani sana Moshi

    Kwa Moshi labda Nyerere afufuke ndo wanaweza kupata
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Sio rahisi unavyofikiria umemsahau Lukuvi aliyekua anapigwa nae jua?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Huwezi kunishawishi mlichokifanya mnakijua
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa sana na kauli za Mbowe na Anna Mghwira; Ni za kumfagilia njia John Magufuli!

    Mi hata sijakuelea mtoa mada
  15. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa Afunika Iringa

    Kwani kazi ya Rais huwa ni kusimama?
Back
Top Bottom