Recent content by geomos

  1. G

    JamiiForums Tanzania primary wanayofundisha computer ,secondary wanayofundisha programming

    Niko njiani kuanzisha hiyo huku mwanza
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu hataki kunipa chakula cha ndoa

    1.Ni muhimu ungetuambia kwanza ni nini kilisababisha mkae miaka mitano Bila kuoana? 2.ulikua unaishi kwake au alikua anaishi kwako? 3.kati ya wewe na yeye, ni nani mwenye uwezo mkubwa wa kifedha toka awali? 4.toka mwanzo ni nani alikua na mzuka zaidi na mwenzake? 5.kiuchumi mkoje baada ya...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa Rais na Mawaziri kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Tanzania

    Kifungu f, mara tu kabla raisi hajashika madaraka, madaraka anaanza kushika lini? Baada ya uchaguzi maana yake na anatakiwa akute baraza la mawaziri limevunjwa. Raisi hawezi vunja wakati mwenzake ameshachaguliwa . Neno mara tu kabla ya kukamata madaraka, lingepaswa kuwekewa Muda pia, kwa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akabidhi Polisi Magari 399 mapya kati ya 777 leo Kurasini jijini Dar es Salaam

    Kweli kabisa unasema, hospitali za wilaya na vituo vya afya magari ya kupimiwa, Halafu wanawake maskini wakiambia afya njema kwa mama na mtoto fyatueni, wanazaa tu vijijini halafu hawajui wanawapeleka wapi? lakini nashangaa magari 777 ya kuchapa virungu tunayapata !kumbe pesa ipo!
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kumbe Lowassa ndiye aliyepeleka mradi wa maji kwenye jimbo la Chalinze!

    Yaani wale wanaomchukia lowassa wa upande huo Wana Matusi, yaani sijui wakoje! Matusi tuuu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa sana na kauli za Mbowe na Anna Mghwira; Ni za kumfagilia njia John Magufuli!

    Ukisema umeshangaa wakati kuna sheria ya namna hiyo, mimi pia nakushangaa
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ni bahati ya CCM kwa CHADEMA kuishiwa pumzi ya kuupinga ufisadi!

    Waliotoka jasho wakina mbowe wenyewe, wakavumilia mabomu ya machozi na sasa wameona vema na wengine washiriki maumivu yao japo kwa Muda mfupi, hawalopoki; lakini wewe ndio unaejua mauzo. Si tuna huruma na mauzo haramu ya meno ya tembo wetu
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwa kosa hili, Lowassa huji kuiona Ikulu

    Ni wewe unaliona hilo kosa, sisi wengine hatulioni, kikwete alichaguliwa na ninyi wananchi sio lowassa, mngeona hafai mngechagua slaa au mrema mchapa kazi, kwa hiyo mabadiliko ni pale pale
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Cultist, Manipulator, Cruel, Untouchable chairman of CHADEMA for Life; Dictator in the making

    Tunapenda watu wanaoijua hela, watasaidia uchumi wa nchi. Swala la ukatili hilo si issue hata magufuli anajua hatuchagui Malaika, so what?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Cultist, Manipulator, Cruel, Untouchable chairman of CHADEMA for Life; Dictator in the making

    As long as he is Tanzanian, he is a good tool for change
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya miaka 16 tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Nyerere alisema wananchi wa tz ni maskini, pamoja na Lowassa
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nakukumbuka baba yetu

    Kweli ulikua mjamaa
  13. G

    JamiiForums Tanzania Watu wa kuitikisa kuondoka CCM sio akina Mwapachu

    Hapo naeza kukubali lukuvi, Salim, kinana, Nchimbi, nape,na ninamaana wataongezea nguvu upinzani wakitoka ccm lakini hawaupunguzii upinzani wakiwa ccm
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    Nasikiliza Habari star TV, kumbukumbu ya mwalimu nyerere. Rais kikwete ameonya hakuna mwananchi kulinda kura, ukipiga kura unarudi nyumbani. Labda mtu anieleweshe, ile ya hatua 200 inatokea wapi? Na kwa nini wapinzani hawakutaka hatua 50 au 1000?
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Teknolojia ya picha ya CCM Vs UKAWA

    Ukiangalia vizuri Hizi picha Za kampeni, kuna zingine ukizitazama, jicho linahisi kama linaanguka shimoni vile, Hivi ni kwa nini?
Back
Top Bottom