Recent content by Geologist chris

  1. Geologist chris

    Sababu za kutumbuliwa aliyekuwa Katibu Mkuu Nishati na Madini

    Uko sawa mkuu. Watu hawaelewi madini na raisi mwenyewe anajifanya anajua kila kitu wakati haelewi
  2. Geologist chris

    Sababu za kutumbuliwa aliyekuwa Katibu Mkuu Nishati na Madini

    Tatizo kwenye hii ishi kila mtu anajifanya yeye anaelewa sana hujusu madini. Huyo prof alishauri jambo zuri sana ilitakiwa wachukue sample wakapime maabara ili waje na majibu kwamba ni copper concentrate au ni mchanga wa dhahabu tena kwa concentration ya kiwango gani. Lakini pia tanzania na...
  3. Geologist chris

    Nyie wahitimu kwanini msijiajiri

    Kama kuna chuo kina tuition bac hakina sifa ya kuwa chuo. Acha ndalichako avifungie tu
  4. Geologist chris

    EWURA bado hawajaita shortlisted candidate for interview??

    Nahisi itakuwa bado mim mwenyewe nasubiria hapa mwenye info zozote atujulishe
Back
Top Bottom