Recent content by Geo De Seky

  1. Geo De Seky

    Ifahamu Cosmic energy ni nini

    Nachojua mimi nguvu iliyoenea ulimwenguni kote ni Nguvu ya Mungu. Nguvu hiyo ndiyo iliyovishikamanisha vitu vyote. Imeenea kote na kwa wakati wote. Nguvu hii sayansi haitaki kuamini kwamba ndiye Mungu. Kwa sababu ya kutokuonekana kwake katika hali ya mwili, na kihalisia ubongo wa binadamu ni...
  2. Geo De Seky

    Kama pesa ya Mwanamke hainihusu, kampeni ya kataa ndoa ni halali sababu inakuwa utapeli

    Nikuweke sawa, Pesa ni lazima ihudumu mahitaji ya familia, mwanamke hali pesa bali anasimamia pesa za familia. Mwanamke anaye kula pesa si mke ni muuzaji kama wauzaji wengine.
  3. Geo De Seky

    Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

    Tuanzie hapa: Kuabudu ni kufanya nini? Na ni nani maana yake?
  4. Geo De Seky

    Ukweli ni kitu gani?

    Ukweli ni uhalisia wa jambo jinsi lilivyo bila kuongeza wala kupunguza. Ni habari au taarifa ya kitu au jambo lilivyo tendeka. Kila kitu au jambo uliloona, kusikia na hata kuadithiwa linaukwe halisi. Ukweli halisi na ikiwa uhalisia wa jambo haupo, huo si ukweli ni uongo. Kwa hali ya kusikitisha...
Back
Top Bottom