Recent content by Gentil

  1. Gentil

    Nina miaka 24 ila mchumba wangu anataka nimsomeshe. Nifanyeje?

    1. Bro hiyo Gender ni loyal kwa feelings zao tu Sio your sacrifices 2. Na feelings zao sio stable zinaweza kubadilika wakati wowote na huwa hawana huruma Mda huo. 3. Usijaribu ku-invest Kwa hiyo gender ukitarajia kitu baadae. Fanya hivyo kama charity tu lakini sio investment ukitarajia return...
  2. Gentil

    Payoneer Verification Document

    Nawezaje kuwapata Vijana wa Mjini kwa ajili ya Utility bill ?
  3. Gentil

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wa inplay 1xbet naombeni code nijilipue wakuu
  4. Gentil

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Goodluck mkuu na mm nilidandia tupo safar moja
  5. Gentil

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu unaweka lini tena nataka nikufate
  6. Gentil

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu andaa wa under 6.5 first half corners naona Jana zilibamba sana
  7. Gentil

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unyama sana hommie ngoja tuone
  8. Gentil

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Under 1.5 yellow card first half Sportybet
  9. Gentil

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unafanyaj mkuu kupitia Mpesa app ninayo pia mpesa app tyr
  10. Gentil

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tujaribu tena under 6.5 corners 1st half. Odds 100+ Edited kutoka odds 1k sporty
  11. Gentil

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sportybet browse ni kwangu tu inazingua ?
  12. Gentil

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yah mkuu hii option kwanzia kwenye Uefa jana ilikua ni 🔥 wasiwasi ulikua kwa eurapa tu ila nayo imetick. Hii next matchday za uefa na europa ndio silaha ya mashambulizi ila nahofia tu sporty wataitoa kama walivyoitoa option aliyopigwa nayo sana kwenye handball na wanaigeria ya over 50 something
  13. Gentil

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah asante under 6.5 first half corner nngejua nngeweka ata buku 3
Back
Top Bottom