Recent content by genman

  1. G

    Msaada: Kutuma na kupokea pesa kutoka nje ya nchi

    Nataka kufanya KAZI ya online, wanahitaji wanilipe kwa paypal au Debt card. Kwa PayPal hawaruhusu kupokea Hela ila kutuma tu kwa Tanzania. Nikijaribu kuingiza details za Debt VISA card yangu nayo wanasema haijaidhinishwa kupokea pesa kutoka nje. Je nifanyeje?
  2. G

    SoC02 Jinsi harufu ya Simba inavyoweza kukomesha migogoro ya wakulima na wafugaji

    Ng'ombe wetu Hawa wa kisasa waweza kuhisi hiyo harufu ya simba kweli?😅
  3. G

    SoC01 “Asbestos” kemikali yenye madhara makubwa kiafya iliyosahaulika katika mazingira yetu

    Kwani Kuna mabati ya asbestos yanauzwa siku izi? Hii kwa ajili ya elimu tu
  4. G

    Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

    Kama wametumia used engine huo sio ubunifu ni ujuzi tu umetumika kuunganisha vipuli kadhaa ambavyo vimetengenezwa na watu wengine Kama wakisema wamebuni shape mpya ya bodi ya gari pia sawa. Tunahitaji ubunifu mpya unaotatua matatizo Katika jamii
  5. G

    The Open University of Tanzania Postgraduate Diploma in Education meeting platform

    Karibuni wadau mliosoma au mnaosoma Open University of Tanzania Postgraduate ya Diploma in Education kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali
  6. G

    Rombo, Ardhi yapata moto kiasi cha kuchoma nyasi

    huyo jamaa hajui hata volcano ni nini
  7. G

    SoC01 “Asbestos” kemikali yenye madhara makubwa kiafya iliyosahaulika katika mazingira yetu

    Si ajabu Zebaki/mercury ni hatari lakini watu wanaishika kwa mikono wanaitumia kusafishia dhahabu
  8. G

    SoC01 “Asbestos” kemikali yenye madhara makubwa kiafya iliyosahaulika katika mazingira yetu

    asante kwa maoni yako 1. Kwa sasa hatuna machimbo ya asbestos Tanzania ila tulitumia bidhaa mbalimbali ambazo zilitengenezwa kwa absestos kwa miaka mingi iliyopita 2. Tanzania na dunia kwa ujumla inahitaji tafiti nyingi kwa matatizo mengi yanayotukabili na tafiti hizi zinahitaji hela hivyo...
  9. G

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Daah bajeti ya matangazo tu sijui sh ngap😋
  10. G

    JamiiForums Usiku wa manane

    usiku ni muda tulivu sana wa kufanya jambo muhimu sana
  11. G

    SoC01 “Asbestos” kemikali yenye madhara makubwa kiafya iliyosahaulika katika mazingira yetu

    Kweli kabisa kaka tuna uhaba sana wa elimu ya afya na pia wengi hatujali afya zetu
Back
Top Bottom