Recent content by genji

  1. genji

    Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

    Msanii wa bongo fleva Nasibu maarufu kwa jina Diamond platinum ambae anatokea kundi la Wasafi amechaguliwa na fifa kutunga nyimbo kwa ajili ya kombe la dunia litakalo fanyika nchini Russia, akiwa yeye pamoja na msanii wa muziki Jason Darulo.
  2. genji

    ULAYA: Hali kali ya baridi na Uangukaji wa theluji waua watu kadhaa barani humo

    Habari:Baridi kali barani ulaya ambalo limesababishwa na wimbi la baridi kutoka sebiria na Urusi, limesababisha vifo vya zaidi ya watu 20 barani humo,,,, upepo wa baridi mkali ambao umepewa jina la "Nduli ya mashariki" nchini Uingereza, ambao umevuma kote barani na viwango vya joto vmeshuka...
  3. genji

    Kiswahili cha kenya ni shida,,,,,,

    Ona sasa kiswahili chao duuuh
  4. genji

    Msaada: Namna ya kujitoa au kufunga akaunti yangu ya facebook

    nenda wikihow. com utatatua shda yako
Back
Top Bottom