Msanii wa bongo fleva Nasibu maarufu kwa jina Diamond platinum ambae anatokea kundi la Wasafi amechaguliwa na fifa kutunga nyimbo kwa ajili ya kombe la dunia litakalo fanyika nchini Russia, akiwa yeye pamoja na msanii wa muziki Jason Darulo.
Habari:Baridi kali barani ulaya ambalo limesababishwa na wimbi la baridi kutoka sebiria na Urusi, limesababisha vifo vya zaidi ya watu 20 barani humo,,,, upepo wa baridi mkali ambao umepewa jina la "Nduli ya mashariki" nchini Uingereza, ambao umevuma kote barani na viwango vya joto vmeshuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.