Recent content by genius17

  1. genius17

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mabasi ya Shabiby ni wahuni

    Pole Sana Ila napenda kukufahamisha kwamba hakuna Basi la Shabiby la kutoka Dar kwenda Moshi au Arusha. Hilo basi kuna kampuni moja ya Mvungi ndio wametoka kununua hilo basi la kampuni ya Shabiby T132 DLC.Ili kudhihirisha hilo naamini hata tiketi uliyopewa sio ya Shabiby. Ila Pole Sana kwa Usumbufu
  2. genius17

    JamiiForums Tanzania ''Dr. ndio tunakufa sisi'' hii ndio kauli ya mwisho ya mapacha Maria na Consolata

    Nimeamka leo nikawa naperuzi Story za watoto hawa,Kiukweli nimesikitika sana
Back
Top Bottom