Nna Masters ya Machenical Engineering Pamoja na Filter machenics Engineering
Na Sitafuti kazi ya Udereva
Niliandika vile ilikuwa kama kivutuo cha Maada.
NENDA KESHO TRA
HAPO UTAJUA KUWA MFUMO MPYA WA UTOAJI LESENI UNARUHUSU MTU KUPEWA...
Halafu Walijifanyaga wamewafukuza madereva Waliogushi vyeti vya Form Four
ila wengine Waliwaacha
Wale waliogushi vyeti kiboya ndo walifukuzwa
kuna wengine Wamegushi chet cha form four halafu , Ukifatilia data zao Unakuta zinaonyesha ni kweli wamesoma...
Bila Cheti cha F4 Ni ngum kupata
Mi nna Chet cha Form six
Nilifanya kama miezi mitatu
Baada ya hapo wakanitafutia 7bu nikafukuzwa kazi
Serikalini wanapeana kwa kujuana
Kuna wengine wapo kule halafu wana vyeti vya kuchonga na wanafanya
Si wenye vyeti Halali...
MFUMI
MFumo Mpya wa Utoaji Leseni Unaruhusu
Mfumo wa zamani wa utoaji Leseni ndo ulikuwa hauruhusu na sasa hautumiki
UNATUMIKA MFUMO MPYA
AMBAO UNAPEWA LESENI KULINGANA NA MADARAJA ULIOOMBA
MIMI NIMESOMA CHUO CHA NIT MWAKA 2013 Kwahyo nnachoongea sio cha kuskia kwa watu.
WENYE DARAJA D WALIKUWA HAWACHUKULIWI hata awe na uzoefu kiasi gani.
WALIKUWA WANACHUKULIWA DARAJA E TU NA UZOEFU MWAKA MMOJA
Labda WAWE WAMEBADILISHA MFUMO Ndo...
Sikudanganyi
Zaman Daraja E
HUJUI MKUU
MFUMO MPYA WA UTOAJI LESENI
UNATOA LESENI KULINGANGA NA MADARAJA ULIOOMBA
NA UNAPEWA LESENI BAADA YA KUFANYIWA MAJARIBIO NA TRAFKI BAADA YA HAPO UNAPEWA
LESENI KULINGANA NA MADARAJA ULIOOMBA
NA MADARAJA YOTE UTAYOYAOMBA...
NIT mm nilisoma pale
Sio mpaka uwe na chet cha F4
Kinachohitajika pale ni ww Unaetaka kusoma NIT uwe na Leseni ya Daraja E na Uzoefu wa Mwaka Mmoja tu.
Ivo ndo vinahitajika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.