Recent content by genius crazy

  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani

    habari wanaJF, naomba kusaidiwa chaguo lipi ni sahihi kwa mhitimu wa shahada ya "BSc.BUSINESS INFORMATION SYSTEMS" kutokana na uhitaji wake katika mazingira ya kazi.machaguo ni kama yafuatayo: 1."Business analyst" 2."Database administrator" 3."systems analyst" 4."business consultancy" unaweza...
  2. G

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ipige marufuku "MESSAGE" ZA KUTENGENEZWA MITANDAONI

    Nakubali wazo lako tupinge mizaha hii. pamoja!!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani

    habari wanaJF, naomba kusaidiwa chaguo lipi ni sahihi kwa mhitimu wa shahada ya "BSc.BUSINESS INFORMATION SYSTEMS" kutokana na uhitaji wake katika mazingira ya kazi.machaguo ni kama yafuatayo: 1."Business analyst" 2."Database administrator" 3."systems analyst" 4."business consultancy" unaweza...
  4. G

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ipige marufuku "MESSAGE" ZA KUTENGENEZWA MITANDAONI

    Kwa bahati mbaya mwaka 2012 ulikuwa ni mwaka mchungu sana hasa ktk tasnia ya sanaa,wasanii kadhaa walitutoka na pia wengine kufikishwa mahakamani na wengine kutafutwa na polisi.Nawazungumzia waliokufa ni pamoja na KANUMBA,SHARO na wengine nisiowakumbuka.mara baada ya kifo cha sharo...
  5. G

    JamiiForums Tanzania serikali ituambie GOOGLE MAP wamepata wapi mpaka kati ya TANZANIA NA MALAWI.

    Tatizo la mpaka kati ya tanzania na malawi linaumiza vichwa sana viongozi wetu hv sasa. ninachoshangaa nimetembelea google map nikatazama mipaka waliyoweka inaonesha ziwa nyasa lote lipo upande wa malawi tofauti na viongozi wetu wanavyo eleza.binafsi nahitaji serikali ilitolee ufafanuzi au mtu...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Ndg zangu wana JF naomba kusaidiwa mawazo katika biashara hii ya nguo za kike; 1. Mtazamo wako kama inalipa au hailipi 2. Location sahihi ni ipi 3. Nitarajie changamoto zipi? Pia, kama unaushauri mbadala nitaupokea na kuufanyia kazi.
Back
Top Bottom