Recent content by gene38

  1. gene38

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume Mkristo miaka 35-42

    Closed
  2. gene38

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume Mkristo miaka 35-42

    CrocodileTooth, comments za humu yani nimeishia kucheka.Mimi ninavyojitolesha ,hivyo vyote ninavyo. Kuhusu wao kuwa negative mimi hainisumbui,maana pia kuna walio very positive wamerespond inbox. Anyway,thanks mkuu
  3. gene38

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume Mkristo miaka 35-42

    Asante Tate, mimi ni outgoing sana,napenda michezo,napenda kushiriki mbio fupi/marathon events,kupumzika kwenye fukwe,kuangalia mpira, na mengine meengi. Umri wangu ni miaka 38 kama nilivyoainisha hapo juu.Thanks.
  4. gene38

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume Mkristo miaka 35-42

    Sifa zake: 1. Awe mkristo, anamwogopa na kumheshimu Mungu. 2. Awe ana shughuli halali ya kumpatia kipato(asiwe tegemezi) 3. Awe kuanzia na kimo kuanzia 5 7" na kuendelea (asiwe mfupiiii sana) 4. Awe Mweusi au maji ya kunde 5. Awe na miaka kati ya 35-42 6. Asiwe na HIV na awe tayari kupima Sifa...
Back
Top Bottom