Recent content by Gendi

  1. Gendi

    JamiiForums Tanzania Mhe. Zitto Kabwe: Asante Umetufungua macho!

    Hiyo ndio tz bhana
  2. Gendi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    mweeehhhh kaaz
  3. Gendi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sisi Sio Malaya wala Madadapoa

    hahahahahahahahahahahaha mwenyewe umeona umejipangaaaaaaaaaaaaaa!!! hahahahaha wengi wenu hasa mabint wadogo ni kunguru huwa hamfugiki
  4. Gendi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    acount sina,sina asset yoyote zaidi ya moyo wa kupenda na huruma,assets nk ni vya kupita na tutaviacha ila moyo wa upendo na penzi la kweli nitakufa nalo
  5. Gendi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    kweli kihusu hela sina ila mahitaji ya mke hayanishindi
  6. Gendi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    thanx sana
  7. Gendi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    tatizo nini
  8. Gendi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    kweli ni kazi kaka ila nimechoka na maisha ya upweke na umri unaenda
  9. Gendi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Waungwana mi ni kijana wa kitanzania,umri wangu ni miaka 32,nina kaz inayonipa kipato cha kawaida tu,nipo sirious kwa alie tayari basi ani pm then tujue la kufanya,karibun sana.
  10. Gendi

    JamiiForums Tanzania Nani alimpa u-'SIR' George Kahama?, Tanzania wenye cheo hiki wapo wangapi?

    kama kuna mtu atabisha na ana uhusiano nae akamuulize,wakati yupo CDA aliwahi kusafirisha vitu vyote vya ujenz kuanzia cement hadi madirisha usiku kwa gari na dereva ya CDA,kupeleka shinyanga,alimtesa sana yule dereva! ufisadi wa miaka hiyo!
  11. Gendi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bunge halijashtuka na bomu la Arusha?Linaendelea na mkutano wake

    kumbe kama wafuasi wa cdm wangesaidiana na polis mtupa bomu angekamatwa jana,
  12. Gendi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bunge halijashtuka na bomu la Arusha?Linaendelea na mkutano wake

    mtoa uzi acha kukurupuka kulaumu na kuongea vitu bila kufikiria,haya angalia tbc uone kama bado bunge haliongelei hilo tukio
  13. Gendi

    JamiiForums Tanzania Kama Kikwete atakuwa bado ni Rais 2015, nchi itaingia vitani

    ifike mahali wanasiasa na ninyi wafuas wa vyama vya siasa mjue kuwa sio kila mtanzania ni shabik wa siasa,damu arusha imemwagika ni vibaya sana,tanzania sio chadema tanzania ni tanzania.TAFAKARI!
  14. Gendi

    JamiiForums Tanzania CCM yazoa viti vingi vya udiwani

    viti vingi vipi hapo! kwa nguvu za allah na damu ya ndugu zetu wa arusha mlioimwaga mtaanguka anguko baya 2015
  15. Gendi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    dah mtu atakae jali hayo basi hanifai,na ndio maana nikataka kwanza tuwe wapenzi..
Back
Top Bottom