Recent content by Gendaheka

  1. G

    Kuna tofauti gani kati ya computer science, IT na ICT?

    Ukisoma ICT unaweza kupata ajira zipi? na Je utakuwa na uwezo wa kutengeneza website za kila namna from scratch na kutengeneza APP za kila namna? Bila kusahau na kale kaujuzi ka kuhack system unayoitaka
  2. G

    Kuna tofauti gani kati ya computer science, IT na ICT?

    Na je mtu atakaesoma ICT anaweza kuwa na ujuzi sawa na aliesoma IT?
  3. G

    NATAFUTA CHUO

    Naomba website zao kiongozi wangu kama unazo nizipitie kama nitapata namba zao au nikikosa nitaenda straight forward ofisini. ASANTE
  4. G

    NATAFUTA CHUO

    Target yangu sio ajira mkuu ila target yangu ni yale maarifa yanayotolewa huko chuoni mkuu wangu hata nikichukua certificate nikaona maarifa yananitosha basi nitaishia hapo sababu target yangu ni kuwa business owner Sasa huwezi ukaendesha biashara kienyeji itaishia kufa tu sasa hata kama una...
  5. G

    NATAFUTA CHUO

    Unaweza kunifafanulia kiundani zaidi mkuu juu ya hiyo kozi ninayoitaka naweza kuipata hapo UDOM then na vigezo vyangu kama nilivyoelezea kwenye Uzi wangu wanaweza kunipokea?
  6. G

    NATAFUTA CHUO

    Habari wana JF najua hapa kuna wajuzi wa mambo mengi sasa mada yangu ni hii mimi kijana mwenzenu ninahitaji chuo kinachotoa basic certificate ya business administration kilichopo hapa Arusha mimi ni mgeni huku hivyo sijavijua vyuo kwa upande huu hivyo naombeni mnisaidie katika hilo wakuu pia...
  7. G

    Ni forex tena, zamu hii pokeeni ukweli huu..

    Sawa ngoja tuone mkuu ila kwa swala hilo sidhani kama Ontario peke yake ataweza kumtoa bwana shaba kibwenzi pale kitini maana anatutambia kuwa TMT hata wakibaki watu wawili yeye atabaki kuwa mentor tu sasa nadhani kumtoa yule dictator shaba kibwenzi inabidi tumtafute Da Mange ahamasishe...
  8. G

    Ni forex tena, zamu hii pokeeni ukweli huu..

    Ni upupu gani huu umeandikwa hakuna fact kwenye huu Uzi wewe utakuwa ni Ontario tu umekuja na ID nyingine ila nashangazwa umeandika mashudu tupu hakuna Yale maneno yako yaliyojawa sukari kama tulivyozoea Et tuwe tunasema ukweli kwenye group la TMT ni ukweli upi ambao mtakuwa tayari kuusikiliza...
  9. G

    Biashara ya seashells inaruhusiwa?

    Seashell ndo nini au unazungumzia mastafeli yale yanafanana kama fenesi yani vipele vipele mwili mzima sio?
  10. G

    Msaada jinsi ya kutuma SMS maalumu

    Habari zenu wanajamvi najua humu kuna wadau wengi kwenye sekta ya IT mimi ninahitaji kupata ujuzi wa jinsi ya kutuma ujumbe kama ule wa TIGOPESA au Halotel yani zile jumbe zinazokuja na jina halafu hazina namba nahitaji kujua napataje huduma hiyo kwa ajiri ya biashara yangu kuongeza vionjo...
  11. G

    Apk ya Dream League soccer 2017

    Mimi nimedowload APK ya dream league soccer 2018 kwenye simu Samsung galaxy grand neo lakini inakataa kuplay nilifanyeje guy's msaada wenu tafadhari
  12. G

    Nawezaje kuwa wakala wa Premier Bet au Meridian nje ya Dar?

    Na mtaji wake unahitajika kiasi gani wakuu msisahau hicho kipengele
  13. G

    KUNA WADAU WA NETWORK MARKETING HUMU?

    Are you seriously kwamba 151,000 ni pesa ndogo duuu asee wewe endelea nayo tu hiyo kampuni yako ngoja pesa yangu niende zangu kwa Ontario nikasake pips huenda nitadouble before week kuisha
  14. G

    Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

    Poa poa chimba chimba mkuu tujue Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
  15. G

    Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

    Kuna ile system yao nimeona ya kuinvest inaitwa PAMM INVESTMENT unaiongeleaje ile na pia wana system ya kucopy trade zote unazizungumziaje ni bora au hasa tukianza na hii PAMM INVESTMENT unazizungumziaje kiongozi?
Back
Top Bottom