Ikiwa umeelewa hivyo ni vizuri ndio maana dunia nzima wanasali hivyo kupitia kuruani ila bibilia imetafsiwa sana na ndio maana huwa inapitwa na wakati na kutolewa toleo jingine kwa mfano hata majina ya bibilia inabadilika utasikia hii bibilia mara agano mara agano jipya tunasubiri mafarisayo...
Munajisahau Sana wewe mchambia rungu aliewapa baraka na mukapokea baraka za kunyanduana jinsia moja ametolea wapi kama sio mchezo yenu nyie watu wa LGBTQ
Wale sio waarabu ni wazungu wenzio waangalie vizuri waliweka vili ili muone waarabu pia wanadai wahalalishiwe hiyo ni propaganda za kimagharibi walijua wapo watu kama nyie mutawakubalia propaganda zao ila nakupa pole maana ndio uwezo wako wa kuona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.