Recent content by gemplatnumz

  1. gemplatnumz

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mme,baby naskia yule kijana toz toz aloamia mtaan majuz et kashatembea na wanawake wote apa mtaan.Kwa muda mfupi2 aloamia,yaan et kawakanda na kuwakamua vya kutosha et? isipokuwa mwanamke mmoja tu? Mke,uyo atakuwa mama Anna2 maana yule mwanamke anajifanyaga kamgumu sn yan anajionaga sana uyo yan...
  2. gemplatnumz

    Baharia; (Ujasusi, Mapenzi na Upelelezi wa kutisha)

    Mkuu Mungu akupe maisha marefu
  3. gemplatnumz

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    .WANAWAKE. .KWENDA.MBINGUN. .SIZAN. .mama kamwambia. .mtoto chukuwa sim. .mezan mpigie cm baba. .yako mwambie chakula. .tear.mtoto akapiga sim. .akamwambia mama. .eke mama sim ya baba. .imepokelewa na. .mwanamke anaxaut. .nzur kuzid ww. .MAMA.kaweke sim. .akija atanitambua. .baba alipo lud...
  4. gemplatnumz

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mke alilala nje akamsaliti mmewe aliekuwa amesafiri kikazi.Asubuhi akapanda daradara arejee nyumbani mmewe akampigia simu. MME: Helo MKE: Helo darling MME: Uko nyumbani ? MKE: Ndiyo,kwa nini Umeuliza hivyo. MME: Aaa! nilitaka kujua tu. MKE: Yaani wewe huo wivu wako utakuua,bila hata salaam...
  5. gemplatnumz

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    DEMU: Baby, hivi unaweza kuongea Kitaliano, Kijerumani na Kifaransa? Maana ninaona unapenda sana michezo yao.... NJEMBA: Ndiyo, ninajua kila kitu.... DEMU: Mmmh, hebu ongea kidogo nisikie.... NJEMBA: Neymar Totti Messi Ancelotti del Piero Gonzalez Dybala Arbeloa Maldin Di Natale Kante...
  6. gemplatnumz

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nimemuona Mke wa Rafiki angu anaingia gest na jamaa Nifanyeje! Ushaur
  7. gemplatnumz

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mwanaume kuuwa nyoka kwa fimbo,panga huo ni uboya. Mwanaume inatakiwa unakamata nyoka unaweka kwenye Boksa wakapambane na nyoka mwenzie. 🤪😂😂😂😂
  8. gemplatnumz

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Habari za 🚲🚲🚲🚲
  9. gemplatnumz

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Bangi acha ipigwe marufuku...* 😂😂 *Jamaa walikuwa wamekaa jumba bovu wanavuta bangi* *wakaishiwa kiberiti, wakamtuma* *mwenzao akaombe popote. Jamaa akazungukaaaaa* *akatokea pale pale* *akawambia, "...masela naombeni kiberiti".* *Kwa kuwa jamaa nao walikuwa wamekolea* *wakamjibu,,*...
  10. gemplatnumz

    First Half

    Matokeo please
  11. gemplatnumz

    Jogoo anachinjwa leo asubuhi tu pale Nou Camp

    Mwenye matokeo please
  12. gemplatnumz

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    😂😂😂😂😂😂 mkuu kila jina nilipata kipindi naimba umiseta
  13. gemplatnumz

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Gem ni madini ghari na ya thamani kubwa Or lulu Platanumz madini maeupe ya thamani
  14. gemplatnumz

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Niulize chochote nitakujibu
  15. gemplatnumz

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hivi kwenda sehemu za siri shingapi jamani 😂😂😂😂😂😂😂
Back
Top Bottom