Recent content by gem platnumz

  1. gem platnumz

    Je hili ni anguko la Simba?

    😀😃😃😃😃😃😀😄😅😂🤣🤣😂 mgunda tena
  2. gem platnumz

    Je hili ni anguko la Simba?

    mzee kuteleza kwa misimu karibia miwili sasa
  3. gem platnumz

    Je hili ni anguko la Simba?

    Mwanzo nilitoe shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kunipa uhai huu adimu Nije kwenye mada simba jumamosi imefungwa 3.0 na raj sio kuwa raj hawakustahili kupata ushindi mbele ya simba ila tatzo ni timu inavyocheza wachezaji wanaonekana kama wanamgawanyiko hawako pamoja pili kocha kukana kikosi...
  4. gem platnumz

    Tujifunze maisha ya ndoa hapa

    SEHEMU YA PILI( 2) YA THREAD HII YA KUHUSU MASWALA YA NDOA Karibuni katika makala hii ya ndoa tena leo ningependa kuwaletea kisa cha pili cha ndg yangu ambae hakupenda litajwe hapa jina lake. Alianza kunuiambia mwanzo ndoa yake ilikuwa kama ya Adam na Hawa kwenye bustani ya edeni alifurahi...
  5. gem platnumz

    Tujifunze maisha ya ndoa hapa

    umefika mbali mzee
  6. gem platnumz

    Tujifunze maisha ya ndoa hapa

    moja ya pointi yako niliyoielewa ni kuhusu Tamaa inshort ni kweli
  7. gem platnumz

    Tujifunze maisha ya ndoa hapa

    ha haaaaa haaaa kwanini ndg
  8. gem platnumz

    Tujifunze maisha ya ndoa hapa

    Watu wengi leo tumebaki na tunajiuliza kwanini wimbi la kuvunjika kwa ndoa linakua kwa kasi sana mashauri Mahakamani kuhusu taraka yamekuwa Mengi kiasi kwamba yanataka kuzidi Mashauri ya kesi za Ardhi? Siku moja alinifata ndugu mmoja akawa ananisimulia kisa chake mke wake amekuwa akimfumania...
  9. gem platnumz

    Yanga wapo sahihi kwa Ally Kamwe na Privadinho?

    UTEUZI WA YANGA JE WAPO SAHIHI> Nimetama uteuzi wa Yanga kwenye nafasi mbalimbali kuanzi C.E.O mpy mpaka DIGITL MANEGER je wamepatia wapi na wapi wameteza>
  10. gem platnumz

    Mambo makubwa manne niliyojifunza baada kifo cha Hayati Magufuli

    naomba na mm kuchangia kdgo kuhsu hii ,ada ia ukweli kuna mda usemwe tu JPM likuwa na mapungufu yakeila nchi kam nchi Iliheshimika na pia mipango yke maka leo hakuna ambae hata kwa nusu yake ameweza kuivaa tofauti na kuwaaumiza wanyonge kwa ss kila mtu ana matamko yako akiamkaanapanga hili...
  11. gem platnumz

    Ripoti madai ya sumu Mto Mara zina utata, zimetofautiana, wataalam wamezichambua

    Hii Nchi ingefuta kitu kinacho itwa profesar maana ndo wanatuangusha sana iwe kwenye uchunguzi n.k sjui ndo mfumo wa elimu ulivyo ndo unazalisha watu kama hao
  12. gem platnumz

    Mwaka mmoja wa Rais Samia, nilichoona Uwanja wa Taifa nimeshangaa. Siasa ina nguvu sana

    Mpira ni burudani siasa ni maisha TFF wasikubali kuchanganya siasa na maisha
Back
Top Bottom