Jana tumesumbuka sana kukupata Mkuu.Tupe nondo za mahakamani kama utakavyojaliwa.Mungu akutunze hata shauri hili litakapokwisha and beyond.Ahsante nimepata siti ya mbele.
Pengine ni watu wasiojulikana wanataka kupoteza hizi updates maana zinatupatia taarifa in rea time kutokea High Court.Wamezoea kutulisha matango pori kwa hiyo wanadhani tunafaidika sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.