Nadhan ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia..c lazima Yanga ikubali ina haki ya kukataa ikiona hakuna haki inayotendeka mbona mnaitolea sana macho hii timu kwan ndo timu pekee hapa tz hao TFF na super sport bado wanaweza kui exclude na kuchagua timu nyingine c lazima yanga..kuna mtibwa toto...
Kukereka na kupata kichefuchefu hizo ni dalili za wachawazito kuwa makin ndugu watu mtaendelea kupiga kelele kwa sana tu but they will continue to be the giants na kubeba ndoo msahau
Afadhali Yanga kuna kitu kinaendelea tangu watangaze upembuzi yakinifu wa uwanja mwishoni mwa mwaka jana na wakatoa wakatoa mda wa upembuzi kukamilika hadi mei na kweli tumeona ripoti imetolewa na kwa mujib wa uongozi ujenzi unatarajiwa kuanza julai..ni kweli ujenzi haujaanza lakini haihitaji...
Hahaha mtoa mada amesema mpira wa tanzania umeingiliwa na virusi viwili vya Usimba na Uyanga na kwamba c tu TFF bali hata serikalini virusi hivyo vimeenea swali langu je kama virusi hivyo vipo TFF hadi serikalin vp kuhusu hapo azam kuanzia kwenye uongozi wa kampuni,uongozi wa timu yenyewe na...
Naona watu roho zinawauma kweli kweli ila bas tu hawana jinsi..mioyoni wanakubali ala midomoni wanapingana na ukweli roho za kwa nii zimewatawala..Kwani waturuki bado hawajamaliza kuchora ramani ya uwanja wa bunju? Au ndo zile zinazolipamba jukwaa la ssc,
Naona kila mmoja anajifanya kuipaka azam mafuta kwa kutumia mgongo wa chupa kwa kujifanya kuzikandia hizi timu kila mtu mjuaji na kutafuta sifa za kijinga...YANGA itaendelea kuwa yanga na SIMBA itaendelea kuwa simba hata iweje yupo wapi MANCITY na pesa sake na usajili wake wa kufa m2..mdau mmoja...
Ok! Inawezekana hayo unayosema yakawa ni ni kweli kwa hizi klabu mbili lakini pia acha kukariri kila siku ni jumapili soma alama za nyakatia, namaanisha kuwa mambo huwa yanabadilika kulingana na wakati sasa hivi YANGA chini ya uogozi uliopo madarakani wamedhamiria kufanya kitu kwa vitendo kuitoa...
Unadhani wanategemea mfuko wa malkia wa nyuki aka mrs LIBOLO?..in short watu wabwabwaji type yako wapo tu siku zote na wataendelea kuwepo hata uwanja utakapo kabidhiwa na wakashuhudia bado wataendelea kubwabwaja tu...vp nasikia malkia wa nyuki anaongoza benchi la ufund kusajil wachezaji, kazi...
Wape pole kabisa hao jamaa na wanakaribishwa hata kwa mkopo azam kupoza machungu ya vipondo vya libolo na ushindi wa kubahatisha lakini msimu ukiisha warudi kwao wakajipange hahaha!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.