Inatia huruma kwa mtani kwa mwendo kama huu wa kubahatisha ushindi na kudundwa siPati picha kama ataweza chomoa kwa wanakishamapanda wanaoiaga ligikuu kwa vyovyote vile hawatakubali kufungwa na mrs libolo labda mama yao malkia wa nyuki amwage mpunga wa kutosha kwa toto ukizingatia nao wana njaa kali vinginevyo waandike maumivu tu...nawaonea huruma sana mashabiki wa simba wanaojificha kwenye kivuli cha azam kukwepa fedheha na aibu ndogo ndogo endeleen kabisa kumiminika kwa waoka mikte maana hata rake kawakamata kisawasawa