Recent content by GEITA FARM

  1. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dodoma na Mwanza

    Vipo kiseke ppf bei 15m
  2. G

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

    Hata Kama Nikipinga Kwa Hoja Kama Wewe Hufugi Kuku Wa Kienyeji Huwezi Kunielewa Jaribu Kuwafuga Kibiashara Ndo Utajua Jamaa Muongo
  3. G

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

    Acha Kudanganya Watu Wewe
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa viongozi wa CHADEMA

    Ndugu Watanzania na wazalendo wa nchi hii napenda kutoa ushauri kwa viongozi wa CHADEMA. Jeshi la Polisi limejipanga kukabiliana na kuzuia maandamano ya 1/09/2016. Siku ya leo 22/08/2016 magari ya Jeshi la Polisi zaidi ya kumi na sita yamezunguka jijini Mwanza akina mama na wazee walikuwa...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wavunja UKUTA waanza maandaliza ya hali ya Juu Mwanza

    Aisee Watakaoandamana Wanatakiwa Watumie Vilevi Kwa Wingi Magari Ya Jeshi La Polisi Takribani Kumi Na Sita Yamepita Maeneo Ya Nyansaka Baadhi Ya Watu Walikuwa Wanalia Wakidhania Vita Imeanza Pale Pasiansi Sokoni Wamelia Sana Akina Mama
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nilimwambia Mkuu wa Mkoa aliyetenguliwa Felix Ntibenda kwamba anatafutwa yeye

    Hivi Arusha Iko Nchi Gani ,,, ?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Fyatueni watoto wa kutosha, nitawasomesha bureee!!

    hahaha msiogope nyie fyatueni tu mbona baba yake mhere mwita ana watoto zaidi ya 30
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kumwazimisha mtu gari ni hatari, nimekoma

    afadhali yako wewe mkuu mimi kuna jamaa nilimuazimisha baiskeli yangu mpyaaa akaondoka nayo mazima hadi leo
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Rais kuhusu Wahehe inanikera sana

    una uhakika kaongea neno la kinyarwanda ... !
  10. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mkutano wa Rais Magufuli uwanja wa Furahisha Mwanza

    hahaha shibudaaa shibudaaaa shibudaaaa aaaaaaa katusaliti mchana kweupeeeee katupa makavu na harakati zetu za kijingaaaaaa
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato: Serikali yatangaza tenda

    Ewaaa Maneno Kidogo Vitendo Kwa Wingi ... Wakiona Hivi Vitu Wanazidi Kuumia Kimoyomoyo ... !
  12. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

    Asante Kwa Kuwaelewesha Naona Wamebadili Ili Kuficha Uozo
  13. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

    Mkuu Mimi Kichwa Cha Habari Niliandika Hivi " CHADEMA YAITELEKEZA FAMILIA YA ALPHONCE MAWAZO " ... Lakini Wao Wameibadili Ili Kuficha Uozo ...
  14. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

    hakuna tusi jipya duniani ongezea tena jingine nyie nendeni mkatimize ahadi mlizotoa
  15. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeitekeleza nyumba ya Alphonce Mawazo?

    hadi sasa hakuna ahadi yoyote iliyotekelezwa kwa nini mtoe ahadi za uongo
Back
Top Bottom