Kwa uelewa wangu,Julius Mtatiro ni katibu wa itikadi na ueneze kwa upande wa CUF,lakini naona amekuwa kimya sana kwa siku za hivi karibuni.Sijasikia kauli yake kwa mambo muhimu yanayohusu nchi ambapo huko nyuma alikuwa akitoa kauli mbalimbali.Je,bado yuko CUF??Kwann yuko kimya?Wana jamii naomba...