Niliwai kusoma uzi hapa wa jinsi ya kujiliwaza unapokuwa kwenye ndege, nimeona na Bbc swahili leo wameiandika, idea hii wameipata hapa, kuna uzi ngoja niusake nitauweka,
Nimeupata huu ni wa kitambo kidogo wa Memba anaitwa britanicca
Je, unajua jinsi ya kujiliwaza uwapo ndani ya ndege wakati...