Ivi leo ni chuo gan ambacho lecturers hawaombi na kula viuno vya dada ze2 kisha kuwapa maksi?je hii sio rushwa,je suala hili lipo sua tu?,lecturer mmoja au wawil wakiomba rushwa kwa matakwa yao binafsi,je chuo kizima wala rushwa?!.Tuache ushabiki na 2jenge hoja.
Kula tano mleta uzi".Nakumbuka cku moja tcha alikuwa anamwaga mbungi clas khs choice criteria za mke,akasema anashangaa sn vjana 2meweka mbele zaidi mwonekano wa nje(na inye likiwemo!) ktk kuchagua mwenza,akaendelea..,kwamba mkishaingia kwenye ndoa t.a.k.o linakosa mashiko kabisa na watakaoliona...
Haka ka lara1 huwa sikaelewagi principles zake ni za mlengo upi!ila kanaonekana kana kichwa chamoto kanafaa kuwa ka mke kema kwan katakupa changamoto za maisha!
Si lazma uwaataarifu bodi!eg unahama toka koz ya miaka m3 kwenda koz ya miaka3 haina tatzo na sio lazma uinotify bodi.ila jina lako na mkopo vitakua vinapitia kwenye list ya koz yako ya awali!
mi logic ata unisurprise na swal sa iv nalinywa fasta!ngoma proba1,ni balaa 2pu toka olevel..,nakumbuka kwenye pepa ya 4m4 nlianzaga na swal la prob1,kipengele ki1 kikanidindia zaid ya nusu saa nakomaa nako lkn wapi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.