Recent content by Gee kay

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada wa kisheria kumkamata mwizi

    TCRA nishawaona wanadai Polisi ndo wawapelekee taarifa lakini bado hawajapewa
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada wa kisheria kumkamata mwizi

    Naomba ndugu wana JF mnisaidie ni hatua gani naweza kuzifuata za kisheria ili kuweza kumpata mhusika wa mwizi wa laptop ambaye baada ya kuiba laptop alipiga simu na kuomba kiasi cha fedha ili aweze kurudisha laptop hizo .Namba yake ya simu bado inapatikana mpaka sasa naongea naye na anakiri ndo...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Notes za UDSM

    Nicheki pm kwa ds
  4. G

    JamiiForums Tanzania Musoma Technical High School

    we acha tu ilijulikana kama marking scheme ya mkoa wa Mara
  5. G

    JamiiForums Tanzania Musoma Technical High School

    wale wote waliopitia Musoma tech tujikumbushe kidogo maisha ya pale
  6. G

    JamiiForums Tanzania Orientation week UDSM

    unaambiwa nenda yombo unajikuta cafeteria2
  7. G

    JamiiForums Tanzania Orientation week UDSM

    Leo first year UDSM wameanza orientation week nitaendelea kuwapa updates kwa kile kinachojili maeneo ya Nkrumah na Yombo pia Smart card
  8. G

    JamiiForums Tanzania Waliopata mkopo UDSM 2014/2015

    Special Faculty Requirement
  9. G

    JamiiForums Tanzania Selection UDSM 2014/2015

    samiu hayumo
  10. G

    JamiiForums Tanzania BSc in Textile Engineering yavamiwa UDSM

    We acha kudanganya mbele ya umma udsm ajachukuliwa kilaza pale. tatizo we hulikosa sifa za kuja hapo
  11. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba mabibo hosteli!

    Unalipaje
Back
Top Bottom