Recent content by gearbox

  1. G

    Kuna watanzania wanaingiza Tsh. Mil 5-20 kwa blogging, nilitaka nilambe asali nikatapeliwa Tsh. laki 3

    Siku ya jana wakati naperuzi jf niliona kuna mdau anauliza kama kuna bloggers hapa bongo wanapiga zaidi ya milioni, ni swali lililonikumbusha mbali sana. 2020 kuna rafiki yangu anaefanyia kazi benki aliwahi kuniambia kuna kazi inaitwa blogging na kuna vijana wadogo tu (early 20s) huwa wanalipwa...
  2. G

    Kuna mwenye blog or website anaekunja 1 million kwa mwezi?? au ni fantasie tu ninazo

    1 tu, wapo wanaopiga dola elf 2 (shilingi milioni 5) na wachache wanaofumua mpaka dola elf 8+ , ni hapa hapa bongo, kimya kimya style 2020 rafiki yangu anafanyia kazi benki aliwahi kuniambia hizi ishu ila nilimbishia, kuna dogo nilimuunganisha field hio benki ila jiji lingine na yeye akaniambia...
  3. G

    Naombeni elimu ya kulipia withholding tax na stamp duty

    Nikilipa napeleka risiri TRA? Kuna cheti napewa kama ilivyo kwa tax clearance? Kuna namna ya kuipunguza? nini madhara ya kutolipa? Mwisho ni lini napaswa kulipa ?
  4. G

    Nje ya kodi ya kila miezi 3 kuna aliyeongezewa stamp duty na witholding tax?

    Nimetoka kulipa kodi ya kila miei 3 ghafla napewa kodi za ziada stamp duty na witholding tax.
  5. G

    Waafrika hatuwezi kujisimamia wala kujiletea maendeleo. Tuwalete wazungu watusimamie kwa maelewano

    tunaangalia wastani, tukiangalia mtu moja moja hata waafrika wapo wanaojiweza kina Dangote
  6. G

    Waafrika hatuwezi kujisimamia wala kujiletea maendeleo. Tuwalete wazungu watusimamie kwa maelewano

    nitajie nchi moja tu ya kusini mwa jangwa la sahara yenye maendeleo ? hakuna !! South Africa ni kwa mgongo wa makaburu tatizo ni kwamba Mandela aliwaachia mikataba ile ile ya kikoloni ndiomaana waafrika wana hali ngumu sana huko, Nigeria imegeuka kuwa bchi ya kuuana kikabila chungu nzima, mfano...
  7. G

    Waafrika hatuwezi kujisimamia wala kujiletea maendeleo. Tuwalete wazungu watusimamie kwa maelewano

    Nitajie nchi moja tu ya Kusini mwa Jangwa la Sahara yenye maendeleo. Hakuna !! South Africa ni kwa mgongo wa makaburu tatizo ni kwamba Mandela aliwaachia mikataba ile ile ya kikoloni ndiocmaana Waafrika wana hali ngumu sana huko, Nigeria imegeuka kuwa nchi ya kuuana kikabila chungu nzima. Mfano...
  8. G

    Tusiwalaumu viongozi wetu, Waafrika wengi tuna asili ya ubinafsi, tamaa, ulalamishi. Hata iwe miongoni mwetu

    wakisema waafrika ni kama nyani sio muonekano ila ni tabia hizo
  9. G

    Tusiwalaumu viongozi wetu, Waafrika wengi tuna asili ya ubinafsi, tamaa, ulalamishi. Hata iwe miongoni mwetu

    Sio viongozi tu, hizi tabia ni nature yetu hata miongoni mwetu, power inawafanya wengi kufichua tabia zao sio kuwabadili tabia. Ubinafsi uliopitiliza, miaka nenda rudi Afrika inapewa matrilioni ya misaada ila ubinafsi unafanya misaada iishie mifukoni mwa wachache. Tamaa isiyo na akili, hata...
  10. G

    Wenye ndoto za kwenda Marekani au Ulaya, pesa zipo lakini kwenye suala la wanawake mtapata taabu sana. Nchi yetu ni pepo ya mapenzi, tatizo ni uchumi

    Hapo UN huwezi kupatumia kama kioo cha maisha ya ndoa / uchumba kwenye nchi zao, wanawake wa hapo UN wapo vizuri hawana vitamaa tamaa vya pesa au mali na hata familia wanazotoka unakuta zipo vizuri, hata ikitokea mgawnyo wa mali ndoa ikivunjika au child support kibao kinaweza kuwageukia wao...
  11. G

    Nawapongeza wakenya kwenye kujitetea juu ya ongezeko la kodi

    Nimeona hawa vijana wa Kenya wapo tofauti sana na hapa kwetu, Kwenye suala la kulimbikiziwa tozo na kodi hawanong'oni kimya kimya mitandaoni, ni wamechachamaa !! Wana spirit ya kuhoji vitu, "Inakuwaje Kenya inapokea matrilioni ya misaada kila mwaka na kuomba mikopo yamatrilioni kwajili ya...
Back
Top Bottom