Recent content by Gazzer

  1. Gazzer

    JamiiForums Tanzania NNAHITAJI SIDE MIRROR YA KULIA SUBARU IMPREZA WAGON YEAR 2009

    Nnaomba kwa wanaouza spare za subaru tuwasiliane, nnatafuta side mirror ya kulia subaru impreza 2009 colour grey mecca, cc1490... 
  2. Gazzer

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu Subaru Impreza cc 1490

    Mafuta 1lt ni km ngapi!?
  3. Gazzer

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu Subaru Impreza cc 1490

    Shukrani sana
  4. Gazzer

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu Subaru Impreza cc 1490

    naomba kuelimishwa kuhusu ukubwa wa engine na utumiaji wa mafuta,....maana nilivoona subaru ina cc 1490 na Raum ina cc1490 nikajua FUEL consumption ni sawa .
  5. Gazzer

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu Subaru Impreza cc 1490

    Asante!! ila nilivoona cc 1490, nikajua fuel consumption ni level za RAUM.
  6. Gazzer

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu Subaru Impreza cc 1490

    Kama kichwa kinavojieleza, mwenye uzoefu na hizo gari naomba msaada kujua 1.fuel consumption 2.upatikanaji wa spea 3. Uwezo wa kuhimili barabara ya vumbi
  7. Gazzer

    JamiiForums Tanzania Anaeifaham subaru impreza 2008/2007 anisaidie kuijua mapungufu yake na uwezo wake

    Tafadhali anaeifahamu subaru impreza 2008/2007 anisaidie kuijua mapungufu yake na uwezo wake...(uimara, matumizi ya mafuta na speed). Mimi nimeipenda kwasababu ya cc 1490 ila siifahamu kiundani zaidi.
  8. Gazzer

    JamiiForums Tanzania Dish la KU_band na receiver ya FTA ukiset vizuri unaweza kupata channel ngapi wakuu?

    WATAALAM HABARI YA JIONI..... NILINUNUA DISH LA DSTV NIKIWA NAFAHAM KUWA NNAWEZAANGALIA MATCH ZA UEFA KWA GHARAMA NDOGO, LAKINI BAHATI MBAYA GHARAMA NI KUBWA SANA, NAOMBA MSAADA JINSI YA KUWEZA KUPATA MATCH KWA GHARAMA NDOGO KWA KUTUMIA DISHI NA KING'AMUZI VYA DSTV AU KING'AMUZI GANI NINUNUE ILA...
  9. Gazzer

    JamiiForums Tanzania DStv decoder na USB PORT

    WATAALAM HABARI YA JIONI..... NILINUNUA DISH LA DSTV NIKIWA NAFAHAM KUWA NNAWEZAANGALIA MATCH ZA UEFA KWA GHARAMA NDOGO, LAKINI BAHATI MBAYA GHARAMA NI KUBWA SANA, NAOMBA MSAADA JINSI YA KUWEZA KUPATA MATCH KWA GHARAMA NDOGO KWA KUTUMIA DISHI NA KING'AMUZI VYA DSTV AU KING'AMUZI GANI NINUNUE ILA...
  10. Gazzer

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya C band na KU band?

    WATAALAM HABARI YA JIONI..... NILINUNUA DISH LA DSTV NIKIWA NAFAHAM KUWA NNAWEZAANGALIA MATCH ZA UEFA KWA GHARAMA NDOGO, LAKINI BAHATI MBAYA GHARAMA NI KUBWA SANA, NAOMBA MSAADA JINSI YA KUWEZA KUPATA MATCH KWA GHARAMA NDOGO KWA KUTUMIA DISHI NA KING'AMUZI VYA DSTV AU KING'AMUZI GANI NINUNUE ILA...
  11. Gazzer

    JamiiForums Tanzania Astra 2f @ 28'e,nilesat 7'w,eutelsat 16'e

    WATAALAM HABARI YA JIONI..... NILINUNUA DISH LA DSTV NIKIWA NAFAHAM KUWA NNAWEZAANGALIA MATCH ZA UEFA KWA GHARAMA NDOGO, LAKINI BAHATI MBAYA GHARAMA NI KUBWA SANA, NAOMBA MSAADA JINSI YA KUWEZA KUPATA MATCH KWA GHARAMA NDOGO KWA KUTUMIA DISHI NA KING'AMUZI VYA DSTV AU KING'AMUZI GANI NINUNUE ILA...
  12. Gazzer

    JamiiForums Tanzania IPTV, BISS,IKS,POWERVU, Tandberg(satstar)

    how do i get your product and the mode of payment
  13. Gazzer

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote hapa kuhusu vingamuzi au dishi

    MALIPO YA BEING SPORT YAKOJE,,,,,BEI YA KUNUNUA NA KULIPIA KWA MWEZI.
Back
Top Bottom