Recent content by GAZETI

  1. GAZETI

    Umewahi kusikia kitu kinaitwa Tego?

    Ya Temeke naikumbuka mkuu, watu walitawanywa na Polisi.
  2. GAZETI

    Umewahi kusikia kitu kinaitwa Tego?

    Umri wangu sio mdogo, unatosha kabisa kunifanya nami niwe Kamhenga ingawa si Mhenga kamili hivyo kama nyani mzee tu nimekwepa mishale mingi. Miaka ya 2000+ Nilikuwa Field Lindi, Pitapita ya hapa na pale nikazama kwa mke wa mtu bila kujua (Nilidanganywa) hapo ndo nikakutana na hiyo kitu inaitwa...
  3. GAZETI

    Wale wa Kickass ni ipi mnatumia kwa sasa

    Nyingi zimepita kama Pirate bay, kat.ph na nyinginezo lakini nyingi zimefungiwa, Ipi inatumika 2024 bila kukudai Vpn na kukuletea vitu tofauti na ulivyoomba? Toka asubuhi najaribu jaribu bado sijafikia lengo.
  4. GAZETI

    Rais Samia afanya Mabadiliko madogo ya uongozi Serikalini, amteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe

    Yaani Tandahimba ni mwendo wa kwata tu, akitoka kamanda Soja anaingia Luteni Kishoka.....!
  5. GAZETI

    Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

    Sasa mnabisha nini, Lini Lowasa na Kikwete waligombana?
  6. GAZETI

    Kwanini ndugu, jamaa na marafiki hawaheshimu biashara ya gari?

    Yaani ukimiliki gari la biashara basi kila mmoja katika hao niliowataja hujiita Staff Jambo la kushangaza kama kuna mmoja wao anamiliki Duka huwezi kuchukua bure hata penseli. Waungwana tujitahidi Kuheshimu biashara ya gari kama inavyoheshimiwa biashara yako ya Duka La dawa. USHAURI Kwa wale...
  7. GAZETI

    Aviator ipo kutufilisi vijana

    Kama umeamua kubet Fuata tu mechi hayo mambo ya makasino achana nayo
  8. GAZETI

    Wanaume walipwe zaidi kuliko wanawake kazini

    Mkuu unastahili kujengewa Mnara
  9. GAZETI

    Je, tutamkumbuka Rais Samia kwa lipi kubwa alilofanya?

    Akishakamilisha Barabara ya Mtwara, Tandahimba, Newala, Masasi hadi Nachingwea hatakuwa bora ila atakuwa bora kuliko Maraisi wote waliopita.
  10. GAZETI

    Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

    Usalama wa Taifa ni kazi ya kila mmoja wetu, kila mmoja anawajibika kwa usalama wa Taifa letu. Tofauti ni kuwa kuna waliojariwa na wana mafunzo Fulani, wewe fanya kwa lile unaloliweza, Ni kama usafi tu, wapo walioajiriwa kufanya usafi lakini kwa ujumla wake ni jukumu letu sote.
  11. GAZETI

    Mwana JF unamaoni gani kuhusu mjadala wa Dini ulioandaliwa kati ya Dkt. Sule na Pastor Ndacha tarehe 16 na 17 December 2023

    Hakuna tatizo lolote zaidi ya kuwa kitakachofanywa hapo ni ujasiriamali au biashara kamili.
  12. GAZETI

    Ujumbe maalum kwa Rais Samia kuhusu uzembe unaofanywa na wafanyakazi wa Bandari Jijini Dar

    Sheikh za siku nyingi, hivi unayo dawa ya kisukari? ni ya kushusha au kuponya?
  13. GAZETI

    Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Sema nini, hatuwezi kwenda Peponi/mbinguni bila kufa hivyo ni vema kwa tunaopendana tukaombeana vifo tu ili kwenda kuipata faraja ya milele kuliko haya maisha ya Joto, mafuriko na kukosa pesa.
Back
Top Bottom