Recent content by Gaupixbrandtz

  1. Gaupixbrandtz

    JamiiForums Tanzania Maduka ya jumla ya pipi

    Boss nicheki watsap nukupe number ya mdada yupo Mwanza wanatengeneza wanasafirisha had Dar kuwauzia watu wa jumla
  2. Gaupixbrandtz

    JamiiForums Tanzania Nimepita Riverside nikanusurika kudakwa

    Wazee habari zenu, Kwanza juzi kwenye kusaka harakat za kupeleka mizigo bhna nilipata mteja yupo river side ubungo sasa nimetoka kariakoo nikafika had pale na boda nimetulia napiga simu inatumika mara inajikata khe si nikashuka nikasogea hadi sheri pale kupiga simu huku boda iko pembeni. Mara...
  3. Gaupixbrandtz

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu tatizo hili kwenye ajira portal

    Wakuu habari zenu, naombeni maelekezo pale kwenye kipengele cha academic qualification nimeweka course mbili, moja nilikosea naomba msaada wa kuondoa course moja ase maana hamna sehem ya kudelete kuna edit nikiedit kuweka ile nyingine nambiwa tayari ipo so nataka nifute ambayo nilikosea
  4. Gaupixbrandtz

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu Tamisemi 2023, kwanini wasitoe sababu maombi kutofanikiwa

    Hatimaye nimefika we lalamika tu
  5. Gaupixbrandtz

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Daah wacha tuone 2017 mimi
  6. Gaupixbrandtz

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Khee ase majina ya afya ndio watu 5319 si walisema 8000 zinatoka daah
Back
Top Bottom