Recent content by gatekeepertz

  1. gatekeepertz

    JamiiForums Tanzania Nauliza: Sumaye hana walinzi wa kumlinda kama waziri mkuu mstaafu wa JTM??

    sikuizi sumaye hali nyama si watanzania bwana wajinga mpaka hasira
  2. gatekeepertz

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo sijawahi kusikia uthibitisho wowote kuwa Serikali ndiyo inateka watu

    pia hujaweka ushaidi kuwa sio watu waserikalio_O
  3. gatekeepertz

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo sijawahi kusikia uthibitisho wowote kuwa Serikali ndiyo inateka watu

    chukulia ungekuwa ndio moja wa askari wetu wazalendo umejificha nyuma ya key board unatapika utumbo, haki ya mama ningekuja kukutoa kama kibaka. askali wetu shupavu na wanaakili. siasa za awamu hii zinawachafua ila wenye busara hukaa kimya na si kukimbiza aliewavua nguo huku bado hujajisitili
  4. gatekeepertz

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI: Kichwa cha treni kilichoanguka Kigoma ndo kilikuwa bandarini

    unazalilisha jeshi mkuu, jitafakali
  5. gatekeepertz

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha hakimu wa Sugu chazua gumzo twitter Kenya

    THIS SENTENCE WAS WRITTEN BY MAGU AND HANDED DIRECT TO JUDGE FOR JUDGEMENT.
  6. gatekeepertz

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo jitihada za Rais Magufuli katika kilimo, yanavyoakisi mageuzi ya CCM mpya na ujenzi wa Tanzania mpya

    Miujiza na nimeamini mungu yupo kupitia ww
  7. gatekeepertz

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo jitihada za Rais Magufuli katika kilimo, yanavyoakisi mageuzi ya CCM mpya na ujenzi wa Tanzania mpya

    Siamini Kama wewe umesema haya. Kweli maombi yamekuponya Maana ulikua msukule wa ccm, hata wakose we ndio mzee
  8. gatekeepertz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani Kenya tena, wafanyabiashara waunda jeshi lao

    Watu wanakielehele
  9. gatekeepertz

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Akifanya Mazuri, Apongezwe: Hotuba Yake Kuzima Mwenge, Ni One of The Best!

    Nishauri tumpe certificate rais Katukomboa kutoka kwa wezi
  10. gatekeepertz

    JamiiForums Tanzania Siasa za kinafiki za Nape Nnauye zimemrudia

    Hahahaaaaa haya teacher Labda akili nimepeleka kutoa matunzo kwa mzaa chema Wewe ni chema wangu
  11. gatekeepertz

    JamiiForums Tanzania Siasa za kinafiki za Nape Nnauye zimemrudia

    Tukusaidie nn sasa Au unataka akupe mimba ndio ulizike?
  12. gatekeepertz

    JamiiForums Tanzania Tunamshambulia na kumponda sana, ni haki yetu ya kikatiba lakini tunavuka mstari wa ustawi wa nchi yetu

    You idiot. Unategemea mwanasiasa awe easy. Lazima uwe tough kuwa clean all time. This guy makonda is a baby tete, anategemea nguvu badala ya politic science. He is a politician not army officer. Solution zake lazima ziwe za kisiasa, atumie sauti kudhibitisha wapinzani wake kyinesha hawapo...
  13. gatekeepertz

    JamiiForums Tanzania Tunamshambulia na kumponda sana, ni haki yetu ya kikatiba lakini tunavuka mstari wa ustawi wa nchi yetu

    Best wai unazani nikulalamika,? Kwann asijisafishe kwa kila tuhuma ili waumbuke wabaya wake? Kwann anakaa kimya? Mengine wachanikaae kimya probably ni siasa. Alienda kufanya nn clouds na wanajeshi wenye siraha usiku wa manane? Jibu tafadhari
Back
Top Bottom