Recent content by gataca

  1. G

    JamiiForums Tanzania Pascally Mayalla weka CV Yako ya elimu DHIDI ya uhandishi wa habari, NAKUBALI wafukuzwe wotee walitubania Sanaa kuingia Newsroom

    Nadhani watu wengi siku hizi hawakutani mara kwa mara na maandiko au vitabu mbalimbali kama ilivyokuwa zamani. Zamani kulikuwa na utamaduni wa kusoma vitabu vingi kulikuwa na maktaba hata mashuleni, na mtu alijikuta anatengeneza utajiri mkubwa wa maneno kutokana na vile alivyokuwa akisoma. Kwa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Pascally Mayalla weka CV Yako ya elimu DHIDI ya uhandishi wa habari, NAKUBALI wafukuzwe wotee walitubania Sanaa kuingia Newsroom

    Ndugu muandishi, nadhani huenda uliandika kwa haraka kiasi kwamba hukupitia kwa makini makosa ya uandishi yaliyopo. Ningependekeza uyafanyie marekebisho kidogo kwa mfano: neno sahihi ni "uandishi" siyo "uhandisi", na "Muhanga" badala ya "muanga" (ingawa waswahli wanasema neneo sahihi ni...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Huu ugeni Kisiwa cha Mkizi ni wa kweli?

    Hilo duka liko Samora Avenue. zamani lilikuwa duka la TPH ni vipo vyote kama uliwahi visoma mtandaoni labda watafute instagram mkukinanyota
  4. G

    JamiiForums Tanzania Huu ugeni Kisiwa cha Mkizi ni wa kweli?

    nenda duka la Mkuki na nyota utavipata vyote
  5. G

    JamiiForums Tanzania China Stratopheric Airship ina uwezo wa kuiona F-35 ya toka umbali wa 2,000 Km

    Na wachina wakaja na jina la paper Tiger ama siyo?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mjue Sir Charles Njonjo, mtu mweusi mbaguzi kuliko wazungu

    alikuwa na Manjonjo yaliyopitiliza ila akaishia kufuta Nyayo za Arap Moi (FUATA NYAYYO ilikkuwa slogan ya moi sawa na kuunga. juhudi leo)
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kwa Takwimu za Jumuiya , Wakatoliki wapo Milioni 24, KKKT mil 12, Madhehebu na dini nyingine sifahamu

    Wasukuma wengi wala michembe matobolwa “dini ni koti la mvua” inaonyesha mtazamo ni kwamba dini huvaliwa inapohitajika, lakini si lazima kuwa msingi wa maisha yao. Makadirio yangu binafsi labda takribani asilimia 70 ya watu wa jamii hii wanafuata mfumo wa kijadi ujulikanao kama Welelo, ambao...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Hivi January Makamba na Nape wamechukua form za ubunge kweli?

    Ni kweli kabisa niliyosema yaweza kuonekana kama nadharia, hasa tukitazama hali halisi ya kisiasa ilivyo sasa, ambapo ushindani wa kweli kwenye sanduku la kura unaonekana kufifia kutokana na muingiliano wa mamlaka na mfumo usio huru. Hata hivyo, hoja yangu inalenga mizizi ya tatizo: utamaduni...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hivi January Makamba na Nape wamechukua form za ubunge kweli?

    Wanaweza kkushinda maana tabia ya wananchi kuchagua wabunge kwa msingi wa umaarufu badala ya sifa stahiki.” Ni wazi kuwa katika historia ya siasa yetu, tumeona wabunge wasiokuwa na sifa au uwezo wa kutosha kushinda chaguzi si kwa sababu ya sera au uwezo wao, bali kutokana na umaarufu wao au...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Video: DC Bomboko huku ni Kujidhalilisha, Si kila mtu ni mwoga. Haya sasa unajisikiaje?

    wakati mwingine lugha hutafsrikana kutokana milindimo ya sauti kulingana na. matamishi yake Kiswahili ni lugha ya syllable-timed rhythm na Kingereza ni lugha ya stress-timed rhythm mimi nimesikkia tofauti ila waweza nikosoa nikiwa siko sawa kkulingana na matamshi yake naona kama kasema I...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia baadhi ya washauri wako wanataka kuangusha Serikali yako kupitia Wananchi

    The recurring narrative that shifts agency to ‘her advisers’ subtly undermines her capacity for independent thought and decision making often intentionally so.”
  12. G

    JamiiForums Tanzania Operation DUSTCOVER: Mawimbi Yame-Intercept Kabla ya Code Kuingizwa kwenye Server

    mimi ni msomaji na mchangiaji kama wewe tu hakuna mbuyu niliozunguka
  13. G

    JamiiForums Tanzania Operation DUSTCOVER: Mawimbi Yame-Intercept Kabla ya Code Kuingizwa kwenye Server

    mbona una ni attack kama ndo nimesema mimi nilikuwa najaribu kufafanua kwa aliyesema kuwa code ngumu nikasema mimi nilichokielewa ni hicho kulingana na mwandishi
  14. G

    JamiiForums Tanzania Operation DUSTCOVER: Mawimbi Yame-Intercept Kabla ya Code Kuingizwa kwenye Server

    Acknowledged. Yet, indications suggest they’re responding to echoes rather than the signal itself. If verified timestamps hold, then the frontline had already advanced past the trigger point. Some analysts argue that the grid was already hot before the tremor registered. The timing speaks louder...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Operation DUSTCOVER: Mawimbi Yame-Intercept Kabla ya Code Kuingizwa kwenye Server

    mimi nilivyoielewa nu kuwa Kuna kikundi cha watu waliokuwa wakitekeleza mpango wa siri wa kuvuruga au kuleta mtafaruku nchini (huenda kisiasa, kiusalama, au kiitikadi). Watu hawa wanajifanya watu wa kiroho, wahubiri au viongozi wa jamii, lakini kwa ndani ni mawakala wa ajenda ya kigeni au isiyo...
Back
Top Bottom