Recent content by Gastone.W.Makishe

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya advance na college wanajama.

    Wanafunzi wengi wanao maliza kidato cha nne wanafikiri kuwa kwenda college ni bomba zaidi ya kusoma advance(forn 5 & 6).Je wanaJF kipi bora kati ya advance na college.??? advantages & disadvantege za advance. advanteges & disadvanteges za college.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wajama biashara gani inayolipa?

    Wana JF mimi ni mwanafunzi natarajia kuhitimu elimu yangu ya sekondari mwaka huu.Ninaomba ushauri wenu wa kufanya biashara gani kipindi nikiwa nyumbani kuliko kukaa tu bila lolote....ninakamtaji kama 150,000 hivi fremu ipo ni yetu lakini ikija kwenye kuchagua aina ya biashara ni mtihani...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Matapeli sugu wa mtoni Mtongani akina ntunyungu

    Dah poleni sana ila tuyasikie tu tusiombe yatukute........
Back
Top Bottom