Shughuli ya kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa wa Mch Christoper Mtikila zitafanyika leo katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam.
Shughuli hiyo itaanza saa 4:00 asubuhi na inatarajiwa kukamilika saa 8:00 mchana, mwili huo utasafirishwa kwenda nyumbani kwa marehemu Ludewa...
Mwamuzi hatakiwi kuwa mtu anayetiliwa shaka kuwa anaweza kupendelea upande fulani. Ocampo four umeki kweli Lubuva ni ngugu wa mama Regna... hapa Lubuvu lazima atiliwe shaka kuwa anaweza kumpedelea mkwewe...dawa ni kujiuzuru...
Mch machachari Mch Christopeher Mtikila akiwa katika studio star TV leo asubuhi katika kipidi cha tuongee amesema kwamba Jaji Lubuva ni mkwewe Lowasa. Alizungumza hiyo habari kufuatia kitendo cha kampeni alizozifanya mgombea Urais kuiptia Ukawa alipokua ziarani Tabora pale aliposema kuwa hii ni...
Mch machachari Mch Christopeher Mtikila akiwa katika stdio star TV leo asubuhi katika kipidi cha tuongee amesema kwamba Jaji Lubuva ni mkwewe Lowasa.
Alizungumza hiyo habari kufuatia kitendo cha kampeni alizozifanya mgombea Urais kuiptia Ukawa alipokua ziarani Tabora pale aliposema kuwa hii ni...
Habari gani wana JF. Binti yangu kamaliza A Level anataka sana kusomea shahada ya sheria na hivi sasa yupo katika harakati za kutafuta vyuo mbali mbali hapa TZ.
Kama kuna mtu yeyote ana taarifa za vyuo vizuri anijuze tafadhari.
Ufahuru wake upo hivi: MERIT History B+, Kiswahili B na...
Habari gani wana JF. Binti yangu kamaliza ''A'' Level anataka sana kusomea shahada ya sheria na hivi sasa yupo katika harakati za kutafuta vyuo mbali mbali hapa TZ.
Kama kuna mtu yeyote ana taarifa za vyuo vizuri anijuze tafadhari.
Ufahuru wake upo hivi: MERIT…History B+...
Habari gani wana JF. Binti yangu kamaliza ''A'' Level anataka sana kusomea shahada ya sheria na hivi sasa yupo katika harakati za kutafuta vyuo mbali mbali hapa TZ.
Kama kuna mtu yeyote ana taarifa za vyuo vizuri anijuze tafadhari.
Ufaulu wake upo hivi: MERIT…History B+...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.