Recent content by Gasper 29

  1. Gasper 29

    Waziri Mwakyembe: Msanii anayetaka kuzungumzia siasa, akagombee ubunge au udiwani

    Diamond ile acha nikae kimya sio siasa uyu mzee vp uyu
  2. Gasper 29

    RPC Arusha: Tunamshikilia mmiliki wa shule ya Lucky Vicent, atapelekwa mahakamani

    Ivi ajali imesababishwa na uchakavu wa bus au uchakavu miundombinu
  3. Gasper 29

    Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.

    Serikali inajitahidi Kukana kuwa haijanunua Mitumba ya ndege na kusahau kuwa ndege ina Taarifa/kumbumbumbu ambazo zinapatikana bila gharama.
  4. Gasper 29

    Jinsi ya kuandika business plan

    Habari za mda huu nilikua naomba msaada a mtu amabaye ana faham jinsi ya kuandika business plan au nikipata sample itakua vyema sana
  5. Gasper 29

    Kubenea azidi kumkalia kooni Bashite

    Imani ya wananchi kwa serikali inazidi kupungua ukiangalia viongozi wanalindwa kwa makosa ya jinai
Back
Top Bottom