kwakuwa ww baba yako na mama yako wako serikalin ndo unaongea hvyo.fikiria kama niwewe ndo unafanya kaz ya bodaboda,alfu sie twasema ifungiwe.ww nimmoja kat ya wa2 mnao wafukuza machinga.
Kipindi cha sensa walisema msiwafiche walemavu.sasa mbona ninyi magamba mnatuficha wageni wanapokuja.achen waone ilimsaidiwe kama kwel ninyi niwasikiv,au mlisha kula misaada mliopewa.hata mfanyeje mmeumbuka.hakuna siri tena habar zenu zimeenea dunia nzima.
Sema usemavyo kwa sugu umechemsha,sugu amefanya watu zaid ya 600 kufanya shughur mbali2 uzembe haupo mbeya.umebaki wewe miaka mitano ya sugu wa2 wanajitambua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.