Nimehitimu stashahada(diploma) ya ununuzi na ugavi(procurement and logistic mangagement)ktk chuo kikuu cha ZANZIBAR UNIVERSITY(zu).ninauzowefu mzuri.nimefanya mafunzo ya vitendo ktk Ofisi ya Rais Fedha,Uchumi na mipango ya maendeleo.pia ktk kampuni ya kitalii ya Mazsons hotel ltd.vile vile...
Mumeanza tena.hebu tizama wale mabaharia wanaochukuli wilaya ya temeke na ilala.mbona hamkuzungumzia.hamuoni km ni ubaguzi.kwani cc tunaoishi wilaya nyengine hatutaki?
Nina diploma in procurement and logistic management.uzoefu nimeupata nikiwa field president's office finance,economic and development planing.zanzibar.naomba msaada
Hali ya maisha hapa nchini hubadilika day to day,kiukweli hali ni ngumu.na ukiangalia viongozi we2 wanasema hali ya ugumu wa maisha imepungua kwa kiac kikubwa.so wapi tunaenda?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.