Recent content by garden king

  1. garden king

    JamiiForums Tanzania Namba 12: Haji Rahid Pandu amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM

    Wengne wanachukua ma begi tu sio fomu
  2. garden king

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Joshua Nassari?

    Hahaahaa wabongo mnajua kuponda
  3. garden king

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Joshua Nassari?

    Thanks mkuu na je ni kwl aliunga mkono juhud
  4. garden king

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Joshua Nassari?

    Habarini wanajamvi, Kwa anayefahamu alipo Joshua Nassari aliyekuwa mbunge wa Arumeru kuptia Chadema anifahamishe maana ni muda sijamskia au ndo aliunga mkono juhudi kimya kimya. Nawasilisha
  5. garden king

    JamiiForums Tanzania BBC yamuhoji Daktari Muhimbili, asema watanzania wengi wanakufa kwa Corona. Awataka kuwa makini

    Kwahyo nyungu na mafukzi unamaanisha havsaidii au?
  6. garden king

    JamiiForums Tanzania Nilivyoingia gerezani kumtoa Mtanzania mwenzangu Afrika Kusini

    ngoja ninywe alikasusu hapa
  7. garden king

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi na Gavana wa Benki Kuu nani ana mkwanja analindwa na Ni nyeti kuliko mwingine

    maswal ya kizamwana! jiulzage mwnyw af unajijibu,
  8. garden king

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku nilivyo wapa lift vibwengo kwenye baiskeli

    Mkuu sio chai ntaendeleza kesho mchana nipo kijijn cmu haina chaj
  9. garden king

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku nilivyo wapa lift vibwengo kwenye baiskeli

    Kwanza niwatake radh wale wote walio kwazika ktk tofaut za madarasa kama zlvo onekana kwny uzi. Ukwl ni kwamba simu ninayo tumia kuna baadh ya maneno yanajiandka yenyw adi nashndwa kuelewa na mm sio mtundu wa izi cmu kubwa kuset nashndwa labda mpaka nimtafte jamaa aliye niuzia anisetie apo...
  10. garden king

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku nilivyo wapa lift vibwengo kwenye baiskeli

    apo ni makosa ya kiuandsh cmu nnayo tumia kuna maneno yanajiandka kabla cja yaandka. Na mm sio mzoefu kuset nashndwa. N ukwl tupu
  11. garden king

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku nilivyo wapa lift vibwengo kwenye baiskeli

    Ilikuwa ni miaka ya 2005 ningali darasa la tano huko iringa vijijini (sitataja jina la kijiji)! Kutokana na hali ngumu ya maisha babu yangu alikua akijshughulsha na kilimo pamoja na kuuza nyanya walau tupate kula na kuishi. Babu alikua akzfata nyanya vjiji vya jiran na kuna mda mbali zaid hasa...
  12. garden king

    JamiiForums Tanzania Msigwa ameshanasa kwa Nyalandu

    Wewe mwenyewe umenaswa na CHUKI, jinasue kwanza.
  13. garden king

    JamiiForums Tanzania Msigwa ameshanasa kwa Nyalandu

    Wewe mwenyewe umenaswa na CHUKI, jinasue kwanza.
  14. garden king

    JamiiForums Tanzania Siku nilipoamua kuacha bangi rasmi

    wahenga wanasema kichwa cha kuku hakiimili kilemba. wewe ni ubongo wako ni mb128 unataka mambo ya gb20 bahat yko ungekua chz.
Back
Top Bottom