BBC yamuhoji Daktari Muhimbili, asema watanzania wengi wanakufa kwa Corona. Awataka kuwa makini

Kwani majority ya watanzania tunao changia Jamiiforums tunaishi Tanzania ipi? kuna mambo mengine huhitaji media kujua kina choendelea nchini, nani kati yetu ndugu au rafiki yake kafa kwa corona wewe mwenyewe ukaona? corona ipo lakini sio kwa kiasi ambacho BBC wana taka kulazimisha ,watuw wako aware na wana chukua tahadhari, kwani ni fashion nchi kuwa na idadi kubwa ya maambuki ya corona na kutangaza duniani? au nongwa ni pale Tanzania kusema haina corona? , mimi naona tunalaumu serikali kwa vitu ambavyo imesha chukua hatua ,gonjwa kama lipo halifichiki utaliona tu kama sio kwa familia yako ni kwa jirani yako, tuchukue tahadhari ndio kitu cha msingi.
 
BBC imeonyesha report kwenye tv kutoka tanzania ikionyesha serikali ikizika waliokufa kwa corona usiku wa manane.

Pia wamemuhoji Daktari wa Muhimbili aliyefunguka kuwa watu wengi wanakufa wakiwemo marafiki zake kwa Corona, amesema ni aibu na inatisha kwamba serikali inasema ugonjwa umeisha.

Pia BBC wameonyesha clip ya mchekeshaji Idriss Sultani akicheka picha ya Rais na kueleza kwamba mchekeshaji huyo aliwekwa jela kwa kosa la ajabu la kumcheka Rais.

Pia BBC wamemuhoji Zitto Kabwe aliyesema kwamba Serikali inaficha ugonjwa wa corona kwa kutaka watanzania wote wapate corona watakaokufa wafe na watakaopona wabaki na kinga.

Ndo Ukweli, Meko thinks He can hide his foolish actions
 
Kwani majority ya watanzania tunao changia Jamiiforums tunaishi Tanzania ipi? kuna mambo mengine huhitaji media kujua kina choendelea nchini, nani kati yetu ndugu au rafiki yake kafa kwa corona wewe mwenyewe ukaona? corona ipo lakini sio kwa kiasi ambacho BBC wana taka kulazimisha ,watuw wako aware na wana chukua tahadhari, kwani ni fashion nchi kuwa na idadi kubwa ya maambuki ya corona na kutangaza duniani? au nongwa ni pale Tanzania kusema haina corona? , mimi naona tunalaumu serikali kwa vitu ambavyo imesha chukua hatua ,gonjwa kama lipo halifichiki utaliona tu kama sio kwa familia yako ni kwa jirani yako, tuchukue tahadhari ndio kitu cha msingi.
Ukiwa msituni usiulize "eti Faru anafananaje?"
 
Kampeni za uchaguzi huu sijui zitaendeshwa kwa style gani maana kule kwa Pierre majibu ya msongamano wa watu tumeshayaona tayari.
Mbona marekan husem kwenye rate kubwa ya corona na Bado watu nyomi wameandamaa barabaran bila tahadhar yeyote

Hao BBC wanafk tu Kama wanafk wengne
 
Naangalia hapa BBC world news tangu asubuhi hakuna habari kama hiyo na ishu .mtoa mada utakuwa umelewa mbowe wawili hapo
Hahahaaaa!!!
Screenshot_20200610-092729.jpg
 
Mbona marekan husem kwenye rate kubwa ya corona na Bado watu nyomi wameandamaa barabaran bila tahadhar yeyote

Hao BBC wanafk tu Kama wanafk wengne
Nakubali kabisa mkuu,na hata Nkurunziza hajafa wala nini hawa bbc ni mawakala wa mabebeberu tu.

Nkurunziza yuko zake visiwa vya bahama huko anakula zake bata tu.
 
Nilisema zamani kuwa Tanzania hatuna kiongozi tuna mfuatiliaji tu. Kiongozi mwenye busara hawaachii watu wake wakfa na corona namna hii huku akiwacheka. Watanzania wanao mshangilia Magu na vituko vyake watalia machozi ya damu. Jamaa hafai munalazimisha tu.
 
Nakubali kabisa mkuu,na hata Nkurunziza hajafa wala nini hawa bbc ni mawakala wa mabebeberu tu.

Nkurunziza yuko zake visiwa vya bahama huko anakula zake bata tu.
Kifo Ni kifo tu we ongea kinafk TU usipokufa na corona utakufa kwa case nyingne hakuna atakaeish milele tunatofautiana sek,dakika,SAA,siku na miez TU ila kifo hakieupukik hata ufungiwe ndani utakufaa tuu
 
Nakubali kabisa mkuu tena zaidi ya 100% kwamba barakoa inafanana na titi la mtu mmoja hivi.
 
Back
Top Bottom