Muda wa kampeni umeishapita lakini kiongozi anapotaka kuwasilisha jambo lolote linalogusa maslahi ya taifa basi na anataka ulimwengu ujue basi ni siku Kama hii ya uhuru tusishagae leo tukapata majibu ya kuhusu DANGO'TE CEMENT maana limeongelewa sana katika mitandao pamoja na MIZIGO YA MAMA...
Ukiona mamuzi mengine uliziki nayo wewe Kama kiongozi katika idara fulani,na aliejuu yako ndio msemaji mkuu wa mwisho au ukaona kabisa hapa bosi wangu amekosea japo ni bosi wangu ni bora kukaa kimya au kujiuzuru wadhifa wako kisha ukampinge ukiwa nje lakini nijuavyo Mimi MTU MZIMA UKIVULIWA NGUO...
Hakika kwa clip hii namuomba mh Rais aingilie kati ili kutimiza ndoto yake ya Tanzania ya viwanda pamoja na kulinda ajira za watanzania na kodi zao wanazochangia serikalini ,pia kulinda muonekano wetu kimataifa hasa katika kuwavutia wengine naamini iwapo Kama Dangote atakifunga hiki kiwanda basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.