Recent content by Garasa

  1. Garasa

    JamiiForums Tanzania Wazee watazuia mafuriko Lowassa na kuliokoa taifa?

    Ccm wamekata tamaa,hawajui kuwa asilimia kubwa ni vijana subirini tuwashikishe adabu.
  2. Garasa

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli unachekesha sana,mikwara inaonesha usivyo serious

    Yaani meli ndio alikurupuka kichizi
  3. Garasa

    JamiiForums Tanzania Wanachama bandia Wakamatwa wakielekea Makao Makuu ya CHADEMA; Waandishi wa UHURU na STAR TV wapigwa!

    Masaburi kakata tamaa anapanga makundi ya janjaweed
  4. Garasa

    JamiiForums Tanzania LHRC yamtaka Dkt. Magufuli kufuta kauli zake

    Huwezi kutolea mfano vitu viwili visivyofanana,Libya walitumia mtutu lkn sisi tunatumia sanduku la kura,Gadafi aliongoza kidikteta sisi kidemocrasia,mbona mifano ya kufanana iko mingi tu,kwann asiseme Nigeria walivyofanya kwenye uchaguzi? Magufuli mwenyewe anajua kabisa anatolea mifano vitu...
  5. Garasa

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Lowassa anajua atashindwa, ameanza kuandaa watu kisaikolojia

    Magufuli ni mgombea binafsi,maana anajinadi ,chagua Magufuli sio ccm tena, Lowasa hata asipopiga kampeni amepita,tikutane October tuwaadabishe .
  6. Garasa

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Tatzo la propaganda za ccm haziendi na wakati uliopo,hz propaganda ni za kizamani sana,kwanza kwa mgombea urais kupokea wanachama wa kawaida au viongozi wa matawi wa chama pinzani ni kumshusha magufuli heshima yake.Amkeni nyie magamba
  7. Garasa

    JamiiForums Tanzania Kosa la Sheikh Faridi ni nini? Ponda ana kosa gani? BAKWATA imefanya nini Kuwatetea so far?

    Kweli mkuu huyu jamaa alidanganya.
  8. Garasa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya wanaume kutelekeza watoto wao

    Duuuuuu tuko wengi japo mm iko tofauti kidogo,yangu inahitaji uzi mzima kabisa.
  9. Garasa

    JamiiForums Tanzania Mgombea Mbeya Mjini, Sambwe Shitambala asema UKAWA wote wanywa viroba

    Kamanda umeleta taarifa kikakamavu sana ila ulivyoandika,inatakiwa utulize sana akili ndio uelewe.
  10. Garasa

    JamiiForums Tanzania Utabiri:UKAWA kushinda viti vya ubunge kwa asilimia 72;CCM asilimia 25 na ACT asilimia 3

    Nina hasira sana na hawa ngamia wa kijani.
  11. Garasa

    JamiiForums Tanzania Utabiri:UKAWA kushinda viti vya ubunge kwa asilimia 72;CCM asilimia 25 na ACT asilimia 3

    Yaani 25 October bado mbali
  12. Garasa

    JamiiForums Tanzania GE2015 Siku tano za kampeni: Chokochoko za CCM, serikali yake na vyombo vya ulinzi

    Ndio maana ICC watakuwepo uchaguzi huu kukusanya ushahidi kabisa sio wategemee serikali iwape ushahidi ili kuepuka yaliyotokea Kenya kuficha ushahidi.
  13. Garasa

    JamiiForums Tanzania UKAWA wazuiwa kufanya mkutano Jangwani na Uwanja wa Taifa

    Ndio maana watu wanajitoa uhanga kwa maelezo ya kuudhi kama haya.
  14. Garasa

    JamiiForums Tanzania Neno 'UFISADI' limekuwa chungu mdomoni mwa viongozi wa CHADEMA

    Mm nishasema,siku Kikwete atamke kuwa Lowasa fisadi ndio ntaamini,sio nyie wafunga kamba za viatu vya Prince.
  15. Garasa

    JamiiForums Tanzania Nape: Ni upuuzi ICC kusema inaangalia uchaguzi kwani si kazi yao

    Kova unaandika lkn?
Back
Top Bottom